Hatari ya kuchanganya Elimu na siasa.

Hatari ya kuchanganya Elimu na siasa.

Sefu jafary

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
382
Reaction score
258
Kutokana na hali ya siasa ilovyo nchini ni kawaida kumkuta kiongozi aliye aminiwa na wananchi akiwashutumu vijana wanao maliza chuo kwa kushindwa kujiari.
Lakini yeye tayari yupo ajirani.
Viongozi aina hii pamoja na ajira kutolewa kichama vinatuumiza sana vijana.
Utakuta kijana mwenzako uliyemaliza naye chuo anapewa ajira mapema kisa alikuwa kada chuoni.
Mbaya zaidi vijana hao unakuta hawajafanya vizuri katika masomo yao wana supp,
Kilicho wabeba ni kuwa makada wa chama.
Wewe ambaye matokeo yako yapo vizuri unasota mtaani.
Kwa hali hii yajayo yanafurahisha.
IMG-20190217-WA0004.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom