UKIP wa Tundu Lissu kisiasa ni sawa na harakati za uraisi wa Marekani za Barack Obama

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,270
Mungu anapoamua jambo liwe binadamu hana uwezo wa kulizuia . Enzi zile za michuano ya kugombea urais wa Marekani kati ya Hillary Clinton na Obama, ingawa wote walitoka chama kimoja lakini Hillary alitumia nguvu zake zote kumuangusha Obama asiwe mgombea wa The Democratic.

Alisema Obama hakuzaliwa Marekani hana sifa za kugombea.
Yeye ana uzoefu wa mambo ya nje kwakuwa alishakuwa mke rais. Lakini ushindi wa Obama ulikuja kama tsunami.

Wanaomuita Lissu muongo, amekuwa shoga, endeleeni kukejeli. Lakini Lissu ni mpango wa Mungu kuipumzisha CCM kidogo.
 
ukitaka kujua kama ulichoandika ni upupu, thread inaingia siku ya pili ina comment moja tu na hii yangu nakuongezea ya pili kwa ajili ya kukumbusha siku nyingine kabla ya kuandika uwe unatafakari.
 
..siyo kweli.

..thread ingepata wachangiaji wengi kama ingeanzishwa ktk jukwaa la siasa.
 
Mungu anapoamua jambo liwe binadamu hana uwezo wa kulizuia . Enzi zile za michuano ya kugombea urais wa Marekani kati ya Hillary Clinton na Obama, ingawa wote walitoka chama kimoja lakini Hillary alitumia nguvu zake zote kumuangusha Obama asiwe mgombea wa The Democratic.

Alisema Obama hakuzaliwa Marekani hana sifa za kugombea.
Yeye ana uzoefu wa mambo ya nje kwakuwa alishakuwa mke rais. Lakini ushindi wa Obama ulikuja kama tsunami.

Wanaomuita Lissu muongo, amekuwa shoga, endeleeni kukejeli. Lakini Lissu ni mpango wa Mungu kuipumzisha CCM kidogo.

Jesus Christ!

Diaspora community badilikeni! Nendeni shule, muweze kufuatilia mambo ya kimataifa, msome magazeti yao muelewe!

There is no way in hell Hillary Clinton akasema Obama hakuzaliwa Marekani, hiyo scandalous argument ilitolewa na Trump na ikam paint kama racist toka siku zile mpaka leo.

Neither did Hillary ever say she had foreign affairs experience because she was first lady, NEVER! Asingefika mbali kwenye primaries kwa controversial stance kama hiyo, not least because hakuwa anashughulikia na hakutakiwa kushughulikia foreign affairs as first lady.
Ingekuwa massive scandal ambayo hata Afrika inapingwa - Nyerere alisema maamuzi ya Mwinyi administration yanafanywa na mkewe. Sijui kama you were old enough to follow Mama Sitti Mwinyi and politics of the day.

Donald Trump amelalamika tena jana wakati ana sign national emergency executive order ya kujenga ukuta kwamba ma diaspora wanaokuja Marekani ni watu walioshindikana makwao, dregs of society, drug feigns, illiterate, wezi, waongo, wametupwa Marekani wakatafute maisha, ndio nyinyi sasa kina Sky Eclat. Unasemaje uongo kama huo?
 
ukitaka kujua kama ulichoandika ni upupu, thread inaingia siku ya pili ina comment moja tu na hii yangu nakuongezea ya pili kwa ajili ya kukumbusha siku nyingine kabla ya kuandika uwe unatafakari.
Vipi mkuu kwani roho inakuuma?
 
Mungu anapoamua jambo liwe binadamu hana uwezo wa kulizuia . Enzi zile za michuano ya kugombea urais wa Marekani kati ya Hillary Clinton na Obama, ingawa wote walitoka chama kimoja lakini Hillary alitumia nguvu zake zote kumuangusha Obama asiwe mgombea wa The Democratic.

Alisema Obama hakuzaliwa Marekani hana sifa za kugombea.
Yeye ana uzoefu wa mambo ya nje kwakuwa alishakuwa mke rais. Lakini ushindi wa Obama ulikuja kama tsunami.

Wanaomuita Lissu muongo, amekuwa shoga, endeleeni kukejeli. Lakini Lissu ni mpango wa Mungu kuipumzisha CCM kidogo.
Hata mzee lowassa mlisema ni mpango wa Mungu.
 
In short mtoa Mada ni Mtu desperate na mwenye mihemko Sana. Mwaka 2010 mlisema Dr. Slaa ni mpango wa Mungu hadi mchungaji kakobe akawasaidia kwenye mahubiri yake kuwa ameonyeshwa kinabii. Mwaka 2015 mkasema Lowasa ni mpango wa Mungu hadi mchungaji Gwajima akawasaidia Kwa unabii wake fake kuwa ni mpango wa Mungu. Now mmekuja na Tundu Lisu for 2020 Eti ni mpango wa Mungu. Halafu mkishindwa mnasema mmeibiwa kura.
Hivi Kama Mungu akiamua Kuna Mtu anaweza zuia kwa kuiba kura ?
Acheni usanii nyie. Tundu Lisu ni mjasiriamali Kama wengine tu. Msimuhusishe Mungu kwa mambo ya kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom