Walioifilisi Benki ya Ushirika kilimanjaro wapo mitaani,hawajakatwa

fred mwakitundu

Senior Member
Dec 31, 2018
140
250
BENKI ya Ushirika Mkoani Kilimanjaro(KCBL), 'imekufa',ndiyo ninasema imekufa kwa sababu mpaka sasa haitoi huduma,ukifika ndani ya benki hiyo unakutana na ukimya uliotanda,kuna wateja wasiopungua kumi hadi 20 wanaufuatilia fedha zao.

Benki imekataa kutoa fedha za wateja,imewalazisha kugeuza amana zao kuwa hisa ili kutunisha mtaji wa benki na kukidhi masharti ya Benki kuu.

Mpaka sasa Benki hiyo ambayo ilikuwa tumaini kubwa la wanaushirika hasa wakulima wa zao la Kahawa,imekufa kutokana na kushindwa kukidhi masharti ya Benki Kuu ya kuwa na mtaji wa shilingi Bilioni tano.

KWA NINI KCBL IMEFIKA HAPA?

Benki hii ndiyo mwasisi wa mfumo wa Stakabadhi ya mazao ghalani na ilichukuliwa kama moja ya mkombozi mkubwa wa wakulima wa zao la kahawa lakini kutokana na kutokuwa na watumishi waaminifu,mfumo huo ulikufa kibudu.

Idara ya mikopo iliyokuwa ikisimamiwa na mtu aitwaye Ombeni,ndiyo imeifikisha hapa benki hiyo kutokana na utoaji wa mikopo usiozingatia tararibu za kibenki ambako watu wasiokuwa na sifa walikopeshwa na kuweza dhamana hewa .

Vyama vingi vya msingi vya ushirika ambavyo zimekuwa vikikopeshwa fedha kwa ajili ya ukusanyaji wa kahawa,vimekuwa havirejeshi fedha KCBL na hivyo mikopo hiyo kuingizwa kwenye kundi la madeni chechefu yanayostahili kufutwa kwenye vitabu.

Mfano katika msimu wa 2016/2017 vyama 19 vya msingi vya Ushirika vilikopeshwa jumla ya shilingi Bilioni 1.9 lakini hadi kufikia Juni 30 2017vyama hivyo vilikuwa vimerejesha kiasi cha sh,Milioni 600 na ushee hivyo shilingi Bilioni 1.7 mpaka sasa hazijareshwa.

Maana yake ni kwamba kiwango hicho kikubwa cha fedha kinaingizwa kwenye madeni chechefu bila wahusika kuonyesha wamefanya jitihada gani kuhakikisha fedha hizo zinarejeshwa benki na kusaidia kukuza mtaji wake.

Lakini pamoja na wahusika walioifikisha hapo ilipo benki hii kujulikana,bado wapo mitaani,wanakula bata kama kawa,hawana hofu kwa sababu waliigeuza benki hiyo kuwa Shamba la BIBI.

Tunaamini ziara ya Waziri Miuu mkoani Kilimanjaro inayoanza leo inaweza ikatoa jibu la ufisadi huu kama ambavyo aliweza kufichua ufisadi wa kutisha Bodi ya kahawa na kuagiza ukaguzi maalumu wa CAG na sasa waliohusika na ufisadi huo wanapumulia mashine.

Ufisadi mwingine ulioibuliwa na Waziri Mkuu na kuagiza uchunguzi unawahusu vigogo wa Chama Kikuu cha ushirika mkoani Kilimanjaro ambao mpaka sasa wapo Gerazani wanaisoma namba na wale wa kiwanda cha kukoboa kahawa cha Tanganyika Coffee Curing.

Acha tusubiri maajabu ya waziri Mkuu
 
sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,472
2,000

Omben una mwonea mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fred mwakitundu,ni muhimu ukafanyia utaft bandiko lako, huyo kijana uliyemtaja huwez unamsingizia sanaa huwez kumtaja yy ukaachana kumtaja general meneja wa pale ambaye alikuwa mhasibu, uwez sita kumtaja yule mama ambaye kwa sasa pamoja na kuizika benk ya ushirika waziri mkuu unae mtegemea ndiye aliyepeleka jina lake awe kamishina wa Tume ya maendeleo ya ushirika ili hali ni muuaji no moja wa benki hiyo.

Taft kwanza uyo kijana unamsingizia kama hujajua basi hacha sio lazma uandke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom