Malafyale01
Member
- Feb 10, 2017
- 56
- 24
Jamani kuna hawa jamaa wa kenya wanauza simu kwa bei poa wanaitwa "top one phone" ukihitaji mzigo unatuma pesa kwa safari com au njia zingine za kifedha then unatumiwa mzigo wako.
Sasa nataka ninunue simu huko japo nna wasiwasi na uaminifu wao. Kuna mtu kafanya nao biashara anisaidie kuthibitisha uaminifu wako.
Asanteni jamani.
Sasa nataka ninunue simu huko japo nna wasiwasi na uaminifu wao. Kuna mtu kafanya nao biashara anisaidie kuthibitisha uaminifu wako.
Asanteni jamani.