FAO LA KUJITOA

Wakulonga

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
659
1,000
Habari wana JF, niende kweny mada moja kwa zote hivi hili jambo mrejesho wake upoje. Hivi ni kweli mtu ukiacha kazi au kuachishwa unapewa NOTI zako zote? Aneyefahamu hebu atiririke humu nasi tupate faida
 
Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
4,976
2,000
Ushuhuda; hapo nyuma miezi miwili mitatu hivi walikuwa wanatoa fao la kukosa ajira ,ila tulitaarifiwa( wiki mbili zilizopita na mm nkiwemo) tukachukue fomu za fao la kujitoa na mchakato ukaanzia hapo. Hivyo kwa lugha nyepesi ni kuwa FAO LA KUJITOA lipo na pesa unapata yotee! Naongea nkiwa ni muhanga hapo kabla na mnufaika wa sasa ivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
breaky

Member
Aug 29, 2013
75
95
W

Wapi huko?
 
Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
16,640
2,000
Habari wana JF, niende kweny mada moja kwa zote hivi hili jambo mrejesho wake upoje. Hivi ni kweli mtu ukiacha kazi au kuachishwa unapewa NOTI zako zote? Aneyefahamu hebu atiririke humu nasi tupate faida
Hela zote tumepeleka kwenye vitu vya maana - SGR, Stieglers Gorge, Airport no.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom