Kasi ya kushuka kwa fedha ya Tanzania dhidi ya dola

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
1,538
2,000
Kwa kweli inasikitisha sana kuona fedha ya Tanzania ikishuka kwa kasi dhidi ya dollar za Kimarekani. Juzi kwa ubadilishaji wa fedha ya Kitanzania dhidi ya dollar (BOT) ilikuwa $1=2245 lakini leo ni $1=2299.45. Hivi kweli nchi hii tunaelekea wapi.

Kila kukicha bei ya bidhaa zinapanda sababu ya dollar. Tunao Wachumi tena Maprofessa. kwa nini wasiishauri Serikali hatua za kuchukua.

Kwa kweli hali hii siyo nzuri kwa nchi hata kidogo.
 
Sumti

JF-Expert Member
Jan 30, 2016
1,471
2,000
Kwa kweli inasikitisha sana kuona fedha ya Tanzania ikishuka kwa kasi dhidi ya dollar za Kimarekani. Juzi kwa ubadilishaji wa fedha ya Kitanzania dhidi ya dollar (BOT) ilikuwa $1=2245 lakini leo ni $1=2299.45. Hivi kweli nchi hii tunaelekea wapi. Kila kukicha bei ya bidhaa zinapanda sababu ya dollar. Tunao Wachumi tena Maprofessa. kwa nini wasiishauri Serikali hatua za kuchukua. Kwa kweli hali hii siyo nzuri kwa nchi hata kidogo.
Wewee ulitakaje? Acha upumbavu, fanya kazi. Mibavicha imejaa ujinga ujinga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
9,683
2,000
Kwa kweli inasikitisha sana kuona fedha ya Tanzania ikishuka kwa kasi dhidi ya dollar za Kimarekani. Juzi kwa ubadilishaji wa fedha ya Kitanzania dhidi ya dollar (BOT) ilikuwa $1=2245 lakini leo ni $1=2299.45. Hivi kweli nchi hii tunaelekea wapi. Kila kukicha bei ya bidhaa zinapanda sababu ya dollar. Tunao Wachumi tena Maprofessa. kwa nini wasiishauri Serikali hatua za kuchukua. Kwa kweli hali hii siyo nzuri kwa nchi hata kidogo.
Bro haya MAMBO ya forex ni ya kitaalam SANA. huwezi andika KAMA hivi.
Kwanza hiyo uliyoandika ni bid rate au ask rate; spot rate ama forward rate. forward discount rate or forward premium rate. ama direct quote or indirect quote.
maana kiutaalam ukiwa Tanzania huwezi andika $1 = TZS 2299.45. lkn ukiwa Marekani ni sawa. MAANA kuna principle ya home vs foreign quotations.

lkn lililo la msingi. rate kuwa juu au chini ni uamuzi wa NCHI namna ya kuweka sera. inaweza KUTUMIA fixed foreign exchange regime, or floating, or pegged etc. so it's the choice of the country. mfano. China wana Devalue their currency to attract export, Zambia also revalued its currency to highest point. so the exchange rate has nothing to do with economic performance of the country.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
51,207
2,000
Nchi ambayo INA negative balance of trade haiwezi ikawa na sarafu imara.
Magufuli hana nia ya dhati ya kukuza uchumi, nia yake ni kumfunika Nyerere baaas
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom