Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
Tatizo la nchi yetu hatuna mifumo ‘systems’. Nchi inaongozwa na maagizo ya kila siku kama vibarua ndio maana mambo huanzishwa leo na kufeli kesho.Sasa hiv jiwe kajikausha kauu kabisa as if sio yeye aliyeharibu kilimo na biashara ya korosho. Noma sana mjue.
Mifumo ipo tatizo bado tunatawaliwa na mkoloni mweusi ( CCM). Hawawezi kuwajibishana. Upuuzi kama huu nchi za wenzetu Magufuli alitakiwa kujiuzulu.Tatizo la nchi yetu hatuna mifumo ‘systems’. Nchi inaongozwa na maagizo ya kila siku kama vibarua ndio maana mambo huanzishwa leo na kufeli kesho.
Mimi tangu 1995 sijawahi toa kura yangu kwa hiki chama.Mifumo ipo tatizo bado tunatawaliwa na mkoloni mweusi ( CCM). Hawawezi kuwajibishana. Upuuzi kama huu nchi za wenzetu Magufuli alitakiwa kujiuzulu.
Sent using Jamii Forums mobile app