Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia Eliza Denis (23) mkazi wa Makulu mkoani hapa kwa tuhuma za kumpiga sehemu mbalimbali za mwili na kumchoma moto mikononi mtoto wake wa kambo, Jackson...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Askari Polisi zaidi ya nane wakiwa na silaha za moto wamemvamia mfanyabiashara wa duka la bidhaa katika eneo la Stand ndogo ya Mabasi jijini Arusha ,Amani Mringo na kumshambulia kwa kipigo kikali...
4 Reactions
100 Replies
11K Views
Kuna nyongo Kali inajengeka kati ya Polisi na Mwananchi Japo hutusaidia sana katika usalama wa nchi kwa baadhi ya sehem ila...... Mwisho wa uzi
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Hawatumii kinga hivyo upelekea mimba za Mara kwa Mara., utafiti unaonyesha Tz katika wanandoa 100 ni1 tu hajawahi kutoa mimba. Sababu kubwa za kutoa ni kutokuwa na lengo la kuzaa kwa mda huo. Pia...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Haswa wale wa Kariakoo nimewavumilia nimeshindwa,Yaani mtu akijichanganya Haijulikani Mita ni ipi na foot ni Ipi? Wana J.f wenzangu naomba tusaidiane hapa watu wanaibiwa sana kule Kariakoo na huko...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Na Samson Mwigamba.... WAKATI nikiwa bado ni mwanachama na kiongozi wa CHADEMA Arusha, kuna siku nilikuwa naongea na viongozi wa chama hicho wilaya ya Arusha mjini. Tukimzungumzia Godbless Lema...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Wanaume wa kata ya Olturument katika halmashauri ya Arusha DC,wilayani Arumeru mkoa wa Arusha,wamelazimika kuzikimbia familia zao kukwepa kukamatwa au kuchukuliwa Mali zao baada ya kushindwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukioa mwanamke mwenye chura kubwa halafu mkabarikiwa kupata watoto. Mkipata mtoto wa kike ur safe but mkipata mtoto wa kiume there will be two things involved. It either mtoto huyo afuate sura na...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Mzungu akikutana na RAIS ni mfadhili, mzungu huyo huyo akikutana na TUNDU LISU ni beberu!! Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
673 Views
Wakuu, nadhani mtakuwa mnafahamu kinachofanyika huko Vatican kwa sasa. Napenda kufahamu nchi yetu imewakilishwa na askofu wangapi na majina yao. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Tumezowea kusikia nchini Spain baadhi ya wachezaji maarufu na hivi karibuni kocha maarufu wakishitakiwa kwa ukwepaji wa kodi hapa wakati fulani TFF baadhi ya mali zake zilishikilliwa na TRA kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kwa anayejua mshahara wa hicho chuo kwa mtu anaye anza kwa ngazi hiyo. Wadau nipo kwenye mkanganyiko nimeitwa interview huko na TIA. Sasa tatizo zote zimeangukia siku moja na wakati mmoja...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Nimeipata hii habari ikiwa kipande hivyohivyo, ila sijajua Ni gazeti gani limeandika.
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari wanaJF! Katika pilikapila za maisha, wanadamu tunakutana na matukio ya aina mbalimbali. Matukio haya yanaweza kuwa ya kufurahisha kama yale ya Dr Shika na Yono, ama ya kusisimua lakini pia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TAKE CARE OF YOURSELF I hear sometimes people talking like it doesn't really matter how they treat themselves. Smoker says, “I am gong to day anyway”. People who eat poorly says, “Why you...
1 Reactions
0 Replies
555 Views
Ninashauri serikali iwafungulie wazawa kusafirisha makinikia ya Shaba, chuma, Manganese na madini mengine. Hii biashara ifanywe na wazawa tu ili fedha ziingie nchini. Ukiangalia Zambia wanauza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani tulizoea kuona wa Portugese kambi yao Ngerengere wakijenga reli sasa hivi hata mmoja haonekani mbona hatuambiwi wamepotelea wapi? Mwenye taarifa anaweza kutuelewesha?
9 Reactions
107 Replies
12K Views
Habari ya leo,naomba wenye uelewa wa gharama za matangazo live kwenye TV na radio huwaje? Pia vipindi vyenye dk 30 na matangazo madogo msaada wenu jambo hili linanitatiza. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jerry Westrom is seen in an undated photo provided by the Hennepin County Sheriff's Office A businessman has been charged with fatally stabbing a Minneapolis woman in 1993 after investigators...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Watu watano unaotakiwa kukaa nao mbali hii February* Asalaam karibu tena Feb, ikiwa ni tarehe tatu hapa naweza andika hili. Hawa ni watu unatakiwa uwaupeke kwa garama yeyote katika maisha yako ili...
5 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom