Gluk
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 1,859
- 3,025
Katika hukumu ambazo zimenipa simanzi nzito basi ni hii ya huyu dogo aliyehukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la kuchoma kituo cha polisi.
Kosa walilolifanya na adhabu waliyopewa ni kubwa mno isiyoendana na kosa lenyewe.
Nawashaurini wana ndugu kateni rufaa haraka mahakama kuu kabla ya muda wa kukataa rufaa haujaisha.
Na kama kutahitajika mchango wa kugharamia gharama za mawakili wa kuwatetea watu hawa naahidi kuwa mtanzania namba moja kuchangia kiasi kidogo nilichonacho katika hili.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app