Salt Bae
Senior Member
- Jan 9, 2019
- 140
- 196
Wana MMU naomba mnifahamishe kati ya A Town na Moro Town ni mkoa upi bora kwenye nyanja za
Miundombinu ya barabara na usafiri
Huduma muhimu zakijamii kama maji na umeme
Mpangilio wa mji na usafi
Uzuri wa mji na vivutio
Mwisho mji upi una watoto wakike wazuri
Nawasilisha
Miundombinu ya barabara na usafiri
Huduma muhimu zakijamii kama maji na umeme
Mpangilio wa mji na usafi
Uzuri wa mji na vivutio
Mwisho mji upi una watoto wakike wazuri
Nawasilisha