Masoko ya bidhaa za watanzania masikini

citymist

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
701
1,000
Habari za wikendi wandugu wa Jukwaa hili.
Niende moja kwa moja katika swala lilionifanya niandike kwa kidole kimoja hapa. Ni hivi awamu hii ya tano, mnakumbuka soko la bidhaa ya ngozi ya ng'ombe uliikuwa inauzwa na wafanya biashara ilisimamishwa kwa muda? Sasa ningependa kujulishwa Kama soko lilishafunguliwa na ngozi zinaendelea kuuzwa?.
MBAAZI. kila mtanzania masikini hasa mkulima anaelewa jinsi bidhaa zao hili lilipitia changamoto gani. Ikauzwa adi mtaani kwa bei ya chini sasa napenda kujulishwa soko lake lilisha tengemaaa na kuludia bei nzuli ya mauzo?
KOROSHO. ndio Kama mnavyoiona picha bado inaendelea stelling atujamuelewa juu ya hii inshu.
Kifupi nimekuwa nikitaka kufanya biashara za mazao hayo, ila kila wakati (msimu ) wake yamekuwa na matatizo ktk soko. Nia yangu nijulishwe tu Kama yamelejea kupata
Soko. TV, hutangaza bei zinaposhuka tu au kupolomoka zinapopanda hazisemi!!! Au bado hakuna Hali nzuri ya biashara hizo ?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom