Msaada jinsi ya kukisajili kingamuzi cha azam

Realbest

JF-Expert Member
Aug 5, 2013
660
250
Habar zenu wakuu , km kuna yeyote anayejua namna ya kukisajili kingamuz cha azam anieleweshe maaana nimewapigia smu customer care hawapokei

Nitashkuru ....

Sent using Jamii Forums mobile app
Habar zenu wakuu , km kuna yeyote anayejua namna ya kukisajili kingamuz cha azam anieleweshe maaana nimewapigia smu customer care hawapokei

Nitashkuru ....

Sent using Jamii Forums mobile app
mtumie details zote wakala aliyekuuzia king'amuzi yeye ndyo anatuma taarifa zako kwa wakala mkuu. baada ya happy unawapigia Azam wanakirefresh mzigo unakua done faster
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom