Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mwaselela iliyopo katika Kata ya Iwindi Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Alinani Mwakifuna (59) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za kumbaka...
Msimamizi wa kiwanda cha madawa ya Kairuki, Dr. Muganyizi Kairuki akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara ya Waziri wa Afya, ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu...
Nashindwa kuvumilia kuona matangazo ya kuomba michango ya matibabu toka kwa watu wanaojiamini ni maarufu.
Huu ni ujinga. Kila mtu anastahili kuishi lakini kila familia au taifa lina kiwango cha...
Katika ile hali inayoonekana ya ushindani katika usafiri wa anga kufuatia ujio wa dreamliner ya Atcl,kampuni ya ndege fastjet imeanza kuruhusu abiria kusafiri na begi lisilozidi uzito wa 23kg...
Nimewahi kuona mtu aliyepagawa na pepo kashika kisu anatishia kuchoma watu.
Mwingine akikemea mapepo, mwenye mapepo alimkamada juujuu na kuanza kuzunguka naye.
Kuna wengine wanatandikwa vibao vya...
Rais wa Jamhuri y'a Muungano wa Tanzania (mstahafu) Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete ombwe lako halizibiki !
Umenifunza yafuatayo.
1.Demokrasia
2.Kunyamaza
3.Busara
4.Upole
5.Hoja kwa hoja sio...
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango amezitaka Taasisi zote za Serikali kutumia kikamilifu mfumo wa malipo wa Serikali wa kielektroniki (GePG), ili kutimiza azma ya Serikali ya...
President Magufuli deploys army to purchase cashew nuts from
Baada ya wafanya biashara kugoma kununua korosho kwa bei ya Tsh 3,300. Rais aliagiza jeshi linunue korosho zote kwa bei ya zaid ya...
Wakuu najua sio taulo zote zenye Hali kama hii ila nimekuwa nilijiuliza ni malighafi (raw materials) gani zilizotumika kuunda hizo diapers,
Mimi nimeona vitu vinavyofanana na Silicon,
Maswali...
Naomba Kuundwe Chama chao upesi na haraka sana. Sijui ni kwanini Tanzania nzima naiependa sana hii Mikoa ya Kagera, Singida, Iringa, Mbeya, Rukwa na Dodoma na kikubwa zaidi naipenda hii Mikoa...
Hivi utaratibu wa kupewa ving'ora vya Polisi ukoje? Maana juzi nimeona Msanii Lulu anaenda kwenye tuzo za uigizaji anasindikizwa na King'ora cha Polisi na pikipiki? What is this ???
Sent using...
Nitaeleza kwa kifupi sana!!
Nakumbuka nikiwa shule darasa la tano, dada yangu mkubwa alipoolewa wazazi wangu walipewa mahari ya ng'ombe 22, na mbuzi 5!
Baba yangu alikuwa mwalimu mkuu wa shule...
Wakuu!
Sina uhakika kama wazo langu hili ni jipya!-ila ninadhani kitu hiki kinaweza kuwepo tayari.Ningependa kujua hapa Dar es Salaam,au hata waliopo mikoani kama kuna Clubs za wasoma...
Hapa naomba msaada kwa wachungaji na masheikh,km ikitokea mharifu ameua tena makusudi,lakini Wakili anamtetea na anajua ameua makusudi..
Kiimani hukumu ya wakili ni nini siku ya qiyama?
Sent...
Habari zenu
Niende kwenye swali langu moja kwa moja je mtu yeyote unaweza kwenda Police na kuomba uende sehemu na kusindikizwa na king'ola? Na gharama zake ziko je?
Maana jana nimeona Lulu...
Dakika chache zilizopita limepita tetemeko maeneo ya chunya mkoa wa mbeya na mkoa wa songwe!...kwa maeneo niliyopo hamna madhara labda mbele huko!ni tukio la kuogofya sana
Siasa
Wanadanganya ili wapate kura wakati wanajua haya mambo hayawezekani kuna watu wapo madarakani wamesahau walichowaambia wananchi+ wanasiasa wa Jamaika lakini sio wa hapa kwetu kabisa sijawahi...
Polisi wa Congo zamani ilijulikana kama Belgium Congo
Polisi wa Mali iliyokuwa koloni la Ufaransa
Polisi wa Uganda ambayo ilikuwa under British guardiansship
Polisi wa India hapa ndipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.