IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Hapa naomba msaada kwa wachungaji na masheikh,km ikitokea mharifu ameua tena makusudi,lakini Wakili anamtetea na anajua ameua makusudi..
Kiimani hukumu ya wakili ni nini siku ya qiyama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiimani hukumu ya wakili ni nini siku ya qiyama?
Sent using Jamii Forums mobile app