Hili si tamasha la Fiesta , bali ni vijana wa kitanzania wakisotea usaili wa nafasi chache za ajira kwenye sekta 1 tu ya afya jeshini
Je huko kwenye sekta zingine ikiwemo walimu hali ikoje ...
366 Days of Compassion is a one year daily devotional written with original reflections, poems, prayers and motivational quotes on God's compassion for all of us. Each day's reflection is related...
Kamera zinazofungwa maeneo ya Mdaula, Ubena na Bwawani ukitoka Morogoro kuja Dar es salaam, ambazo wataalamu wapo juu wanazifunga ni kwa ajili ya usalama kwa raia na mali zao pindi wawapo...
Heshima yenu wanaJF wakubwa kwa wadogo.
WanaJF tusaidiane kuelimisha hawa wakurya ili waachane na ushamba na tabia za kizamani ambazo watu walifanya kwa sababu ya ukosefu wa elimu na uwezo mdogo...
Vijana Tisa Wa mradi Wa LTSP wamefariki dunia jioni hii mjini Ifakara baada ya Gari iliyowabeba kipinduka na kuingia mtoni na wanne wamejeruhiwa,miili na majeruhi wapo hospitali ya rufaa ya...
Habari zenu wana JF
Nimekuwa na tatizo la kushindwa kujieleza mbele za watu hasa watu ambao sijawazoea pia inaniwia vigumu kuongea na mtu ambae sijamuzoea.
Hili tatizo ninalo toka nijitambue pia...
Yafuatayo ni maelezo ya namna ya kuomba fursa za kimasomo nchini China Maelezo haya yameandaliwa na Watanzania wanaosoma China- kupitia HEOCT (Higher Education Opportunities in China for Tanzania)...
Yaani TANESCO kila siku mnakata umeme, tena mnarudisha jioni pasipo kutangaza, hasa kwa Wilaya ya Ubungo! Hamuoni mnakosesha Shirika mapato (mnahujumu jamii)?
Hapa nagundua mambo fulani:
1...
Taarifa hii imeandikwa na Wakili wanaodai kutetea Haki za Binadamu akina Jebra Kambole kwa nia ya kujipatia kesi kinyume cha taribu za taaluma ya Mawakili na kusambazwa mitandaoni:.
"..Ndugu...
Je, kuna umuhimu wa Serikali duniani kote kuamua kulifanya suala la upimaji wa UKIMWI kuwa suala la lazima!
Ni suala ambalo mara kadhaa limekua likileta mjadala mkali kwa wanaoangalia maslahi ya...
Hivi kuna umuhimu gani wazee kupewa kitambulisho ilhali wenyewe tu wanajitambulisha automatic.... maana hakuna kijana anayeweza kufoji kuwa yeye ni mzee
WATANZANIA TUWE MACHO
Jumatatu, 25 Febr, 2019
Nimemsikiliza Dk. Suleiman Kisango Mkurugenzi wa Sera za Uchumi na Utafiti wa Benki Kuu ya Tanzania akieleza sababu za kuanguka kwa thamani ya...
Ndugu wana JF nimekuwa nikitafuta document ya itifaki ya nchi yetu katika mtandao bila mafanikio. Ninachopata ni document ya mataifa mengine tu.
Kwanini yetu iwe mafichoni? Kama IPO na Kama sio...
Sababu kubwa za Kanisa Katoliki ni 2:
1. Kumpa Padri/Mtawa nafasi au muda mwingi zaidi wa kufanya kazi za Mungu.
2. Kuitikia mashauri ya Maandiko Matakatifu yanayosifia au kushawishi watu wawe...
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine wamekuwa wakishuhudia wizi mkubwa wanaofanyiwa na chuo hiki huku zaidi ya millioni 700 zikiliwa mbele ya macho yao.
Serikali ilianzisha mpango wa...
Watuhumiwa watano wa kesi namba 3/2019 ambao wanashtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi wamefikishwa katika mahakamani ya wilaya ya Dodoma watuhumiwa watano kwa kosa la uhujumu uchumi katika kesi...
“Nilikuwa na miaka 7 au 8 kipindi hicho. Nilikuwa rafiki wa mchungaji. Siku moja mchungaji akanambia njoo ukae nami tusome pamoja. Kisha tulivyokaa pamoja, mara yakafuata mabusu…kisha yakafuata...
Nimepokea kwa masikitiko makubwa sana kusikia kuwa eti Mikoa ambayo inaongoza nchini kwa Wanaume wake kutofanyiwa Tohara ( Kutahiriwa ) mmoja wapo ni Mkoa wa Mara ( Musoma ) ambako kiukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.