Je ni nani anastahili kuongozwa na king'ola cha Polisi?

Isaac1

Member
Nov 12, 2018
60
125
Habari zenu

Niende kwenye swali langu moja kwa moja je mtu yeyote unaweza kwenda Police na kuomba uende sehemu na kusindikizwa na king'ola? Na gharama zake ziko je?

Maana jana nimeona Lulu wakati akiingia kwenye tuzo za Filamu alisindikizwa na king'ola.

Kwa baadhi ya nchi ni jambo la kawaida ila kwa Tanzania jana ndo mara yangu ya kwanza kumuona mtu binafsi akipelekwa sehemu na king'ola cha Askari wa usalama barabarani.

Nasubiri majibu yenu ili na mimi nisake pesa siku nikienda kijijini kwetu nipelekwe kwa king'ola.

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mandela90

Senior Member
Feb 12, 2017
152
250
Nafikiri pengine yahitaji kuwa na sababu maalum sidhani kama yeyote anaweza safirishwa kwa King'ora. Watu wenye umaarufu mkubwa, ama wenye kutegemea negative attention from the crowd Vila shaka anaweza kupewa nafasi hiyo tena kwa kulipia, au kama uko na pesa nyingi on hand na ungependa kuzisafirisha from point a to point b unaweza pewa king'ora

Asante sana kwa ufafanuzi wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPOPO

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
2,868
2,000
Ukitaka kusindikizwa ,unapeleka maombi kwa police unapewa ulinzi sababu zikijulikana .Ila unalipia kidogo.Ukiwa unapeleka hela benki au una taka escort kwa ajili ya msafara maalum na police wakaridhika basi unapewa tu huwa kwa hili halina ubaguzi polisi wako makini.
 
Team JPM

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
937
1,000
Kuna wakati unaweza ukasindikizwa kwa king'ola bila Hata kuomba wala kulipia. Mfano watuhumiwa wa ujambazi sugu na ugaidi, hupata offer hiyo bure kabisaaa wanapopelekwa na kutoka mahakamani. Pia ukiwa mahututi kwenye ambulance hiyo huduma ni bure
 
Team JPM

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
937
1,000
Kuna king',ola cha polisi, king'ola cha jeshi, zimamoto na ambulance
Kuna wakati unaweza ukasindikizwa kwa king'ola bila Hata kuomba wala kulipia. Mfano watuhumiwa wa ujambazi sugu na ugaidi, hupata offer hiyo bure kabisaaa wanapopelekwa na kutoka mahakamani. Pia ukiwa mahututi kwenye ambulance hiyo huduma ni bure
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom