Rais Jakaya M. Kikwete umenifunza mengi

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,926
Rais wa Jamhuri y'a Muungano wa Tanzania (mstahafu) Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete ombwe lako halizibiki !

Umenifunza yafuatayo.

1.Demokrasia
2.Kunyamaza
3.Busara
4.Upole
5.Hoja kwa hoja sio risasi
6.Upendo
7.Furaha kwa wote (Ikulu mpaka Msambiazi Korogwe au chome mwanga mpaka ilolangulu Tabora)

Mhe. JK naamini kwa dhati y'a moyo wangu ulituletea haya ili nyota yako iendelee King'aa maana ulijua udhaifu wetu wa kimataifa hatuwezi kupenya ili nyota yako iendelee kuwaka

Hakika umefanikiwa ila ulituachia upendo sio hofu na chuki !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna makosa KJ alofanya ambayo yalitokana na ubinadam wake .
Mfano :Kushindwa kutumia Mamlaka yake kutuletea katiba mpya ambayo ingejenga Taifa imara sana duniani na mfano wa kuigwa.
Nadhani CCM ina staili yake ya kutawala yenye siri kubwa sana za kutafuna utajiri wa dunia hii.
Shetani alimwambia Yesu ukiniabudu nitakupa utajiri na vitu vyote mana nimevipewa mimi.
KJ na makada wenzake waliona upepo wa katiba mpya ulikua unaisomba CCM mana wananchi walikua wamechoka kutawaliwa kikoloni na katiba ya mkoloni na sheria za mkoloni ; walichoamua kufanya ni kuwahadaa wananchi kwa gharana kubwa sana kuwa ameamua kusikiliza kilio cha watanzania na hitaji la katiba mpya. Alipongezwa na wapambe wake kila kona kuwa ni msikivu lakini mioyoni mwao walijua wanachokifanya.

Ukiangalia kwa uhalisia wale wote waliopinga kwa nguvu zote Katiba ya Warioba ndio waliokuja kupewa madaraka kwa kazi waliyoifanya. Inaonyesha wazi kuwa hapakuwa na dhamira ya kweli ya kuleta Katiba mpya inayotokana na maoni ya walipa Kodi wa nchi hii ambao ni waajiri wa watawala.
Wengine walimpiga mitama Mwenyekiti wa ile time mchana kweupe. Walizawadiwa vyeo vya kuwa Kaka wa Wilaya na baadae mkoa na sasa wanapenya kushikilia maamuzi makubwa zaidi.

Awamu iliyofuata CCM walikuja kivingine.
Waligundua kuwa moto na upepo wa wapinzani kuhusu ufisadi ungesomba chama hicho cha kichina.
Walichofanya ni mbinu ile ile ya kujipindua na kuwahadaa wananchi kuwa wamesikia kilio chao na sasa wanapambana na ufisadi (kwa maana ya rushwa ,upendeleo,ukabila,uonevu,manyanyaso, ukosefu wa ajira, matumizi makubwa ya serikali kununua magari ya kifahari,misururu ya misafara, usiri wa mikataba,Ukiukwaji wa sheria ya manunuzi, kupeana tenda bila kushindanishwa kwa uwazi, kufanya kazi mapendekezo ya tume za kibunge, kulipa bunge Uhuru wa kuimulika serikali ili kubaini ubadhirifu na udhaifu wake, n.k).

Yote ni janja ya makada wa CCM ili kuhakikisha chama kinaendelea kutawala na wao wanaendelea kula utajiri wa dunia na watoto wao na wajukuu wao.

Wale makada wa CCM walioipigania katiba ya Warioba na kuzunguka nchi nzima wakiisifia kuwa italipeleka taifa letu mbele kwa karne moja ni hao hao Leo wanaonekana wakila bata na kucheza miziki huku wakizunguka nchi nzima kusema hakuna haja ya katiba mpya. (R.I.P Dr. Mvungi mtu pekee aliyeipigania katiba mpya toka rohoni.)

Wanasema maendeleo hayana Chama lakini je,wanatekeleza kwa vitendo?

Hakuna jambo halisi litakalofanywa kwa vitendo na kwa nia njema na CCM na Makada wake kwa sababu ni Chama cha Kichina na kimeiga mambo yake huko China.
Bidhaa za kichina ni nzuri kwa kuzitizama machoni .

JK ana mema yake mengi kama ulivyotaja lakini pia ana mapungufu yake kama binadam.
Kujenga Uhuru wa watu na kulinda haki za binadam ni jambo kubwa sana alilofanya kwenye utawala wake .Dunia itamuenzi kwa vizazi na vizazi.
 
"No one is perfect". MEMA YAKE YANAFICHA UDHAIFU WAKE! HUWEZI MLINGANISHA NA WENGINE WENGI.
UVUMILIVU na BUSARA ALIONAO NI WAKIPEKEE
 
Nchi hii imechezewa sana, tumechezewa sana, tembeeni kifua mbele, hii ni donor contry, kugeuka nyuma kidogo limechota 2.4 trilioni aiseeeee
 
Chadema hadi raha wakati Kikwete Raisi mlisema ni Raisi wa hovyo kupata kutokea Hayupo serious kutwa kucheka Cheka tu na kusafiri nje mkawa hadi mnahesabu safari zake .Kaja Raisi asiyecheka yuko serious na hasafiri nje mnapiga yowe Raisi Gani hacheki cheki na hasafiri nje muda wote yuko serious!!
 
MKUU HII UNGEIFANYIA
LECTURE UNGEWATOA MATONGOTONGO WENGI
Kuna makosa KJ alofanya ambayo yalitokana na ubinadam wake .
Mfano :Kushindwa kutumia Mamlaka yake kutuletea katiba mpya ambayo ingejenga Taifa imara sana duniani na mfano wa kuigwa.
Nadhani CCM ina staili yake ya kutawala yenye siri kubwa sana za kutafuna utajiri wa dunia hii.
Shetani alimwambia Yesu ukiniabudu nitakupa utajiri na vitu vyote mana nimevipewa mimi.
KJ na makada wenzake waliona upepo wa katiba mpya ulikua unaisomba CCM mana wananchi walikua wamechoka kutawaliwa kikoloni na katiba ya mkoloni na sheria za mkoloni ; walichoamua kufanya ni kuwahadaa wananchi kwa gharana kubwa sana kuwa ameamua kusikiliza kilio cha watanzania na hitaji la katiba mpya. Alipongezwa na wapambe wake kila kona kuwa ni msikivu lakini mioyoni mwao walijua wanachokifanya.

Ukiangalia kwa uhalisia wale wote waliopinga kwa nguvu zote Katiba ya Warioba ndio waliokuja kupewa madaraka kwa kazi waliyoifanya. Inaonyesha wazi kuwa hapakuwa na dhamira ya kweli ya kuleta Katiba mpya inayotokana na maoni ya walipa Kodi wa nchi hii ambao ni waajiri wa watawala.
Wengine walimpiga mitama Mwenyekiti wa ile time mchana kweupe. Walizawadiwa vyeo vya kuwa Kaka wa Wilaya na baadae mkoa na sasa wanapenya kushikilia maamuzi makubwa zaidi.

Awamu iliyofuata CCM walikuja kivingine.
Waligundua kuwa moto na upepo wa wapinzani kuhusu ufisadi ungesomba chama hicho cha kichina.
Walichofanya ni mbinu ile ile ya kujipindua na kuwahadaa wananchi kuwa wamesikia kilio chao na sasa wanapambana na ufisadi (kwa maana ya rushwa ,upendeleo,ukabila,uonevu,manyanyaso, ukosefu wa ajira, matumizi makubwa ya serikali kununua magari ya kifahari,misururu ya misafara, usiri wa mikataba,Ukiukwaji wa sheria ya manunuzi, kupeana tenda bila kushindanishwa kwa uwazi, kufanya kazi mapendekezo ya tume za kibunge, kulipa bunge Uhuru wa kuimulika serikali ili kubaini ubadhirifu na udhaifu wake, n.k).

Yote ni janja ya makada wa CCM ili kuhakikisha chama kinaendelea kutawala na wao wanaendelea kula utajiri wa dunia na watoto wao na wajukuu wao.

Wale makada wa CCM walioipigania katiba ya Warioba na kuzunguka nchi nzima wakiisifia kuwa italipeleka taifa letu mbele kwa karne moja ni hao hao Leo wanaonekana wakila bata na kucheza miziki huku wakizunguka nchi nzima kusema hakuna haja ya katiba mpya. (R.I.P Dr. Mvungi mtu pekee aliyeipigania katiba mpya toka rohoni.)

Wanasema maendeleo hayana Chama lakini je,wanatekeleza kwa vitendo?

Hakuna jambo halisi litakalofanywa kwa vitendo na kwa nia njema na CCM na Makada wake kwa sababu ni Chama cha Kichina na kimeiga mambo yake huko China.
Bidhaa za kichina ni nzuri kwa kuzitizama machoni .

JK ana mema yake mengi kama ulivyotaja lakini pia ana mapungufu yake kama binadam.
Kujenga Uhuru wa watu na kulinda haki za binadam ni jambo kubwa sana alilofanya kwenye utawala wake .Dunia itamuenzi kwa vizazi na vizazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema hadi raha wakati Kikwete Raisi mlisema ni Raisi wa hovyo kupata kutokea Hayupo serious kutwa kucheka Cheka tu na kusafiri nje mkawa hadi mnahesabu safari zake .Kaja Raisi asiyecheka yuko serious na hasafiri nje mnapiga yowe Raisi Gani hacheki cheki na hasafiri nje muda wote yuko serious!!
Rais asiyesafiri nje hata kwenye mikutano muhimu kabisa ana walakini. Kuna kitu fulani na mara nyingi ni lack of competence.
 
Ange lack competence asingekuwa Raisi ungekuwa wewe ndie raisi
Lack of international competency. Na pia inadhihirisha ni mtu asiye na diplomacy. Anaweza tu hapa nyumbani kwasababu anaweza kufanya kienyeji bila mtu kumwambia chochote ila aikifanya hivyo kwenye international arenas atapashwa vilivyo.

Madikteta huwa hawasafiri sana kwani hawakubaliki kimataifa.
 
Rais wa Jamhuri y'a Muungano wa Tanzania (mstahafu) Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete ombwe lako halizibiki !

Umenifunza yafuatayo.

1.Demokrasia
2.Kunyamaza
3.Busara
4.Upole
5.Hoja kwa hoja sio risasi
6.Upendo
7.Furaha kwa wote (Ikulu mpaka Msambiazi Korogwe au chome mwanga mpaka ilolangulu Tabora)

Mhe. JK naamini kwa dhati y'a moyo wangu ulituletea haya ili nyota yako iendelee King'aa maana ulijua udhaifu wetu wa kimataifa hatuwezi kupenya ili nyota yako iendelee kuwaka

Hakika umefanikiwa ila ulituachia upendo sio hofu na chuki !!

Sent using Jamii Forums mobile app

Katika uliyoandika hapo juu ni upuuzi mtupu. Kikwete alikuwa mpole kimahesabu ila alikuwa anawamaliza sana wapinzani kwa kumtumia Zitto na vijana wengine kuwachafua watu asiowapenda, kwa kifupi alikuwa mnafiki. Alikuwa anajifanya mpole huku anawapima watu, hana busara zezote. Thank God he's gone.
 
Mapungufu ya JK ni suala la kuendekeza urafiki na kusababisha nchi kuwa katika lindi kubwa la rushwa. Tulioishi maeneo ya migodi tunafahamu sana hali ilivyokuwa mbaya kwa wenye pesa kuamua lolote na wakati wowote. Watu walitumia jina lake na mtoto wake Ridhiwani kumiliki vitalu vya uchimbaji dhahabu na kujikuta wachimbaji wadogo wakifukuzwa kila wagunduapo hifadhi ya dhahabu.

ALIYONIFUNDISHA

1: UVUMILIVU WA KISIASA
2: KUTUMIA MADARAKA PASIPO KUKANDAMIZA WALIOKO CHINI YAKO
3: HUENDA ALIFUNDISHWA DINI NA KUISHIKA VILIVYO HASA SUALA LA UPENDO
4: NDIYE KIONGOZI PEKEE ALIYEPATA MADARAKA MAKUBWA KUONYESHA UISLAMU SIO CHUKI HIVYO ALIPENDWA NA KUKEBEHIWA HADI KUITWA DHAIFU SABABU YA HOFU YA MUNGU
5: ANAFAHAMU NAFASI ZA KISIASA NI SHARTI UWE NA ROHO PANA

ALICHONIFUNDISHA MAGU

1: KUWA MPOLE WAKATI HUJAPATA MADARAKA
2: TUMIA MADARAKA YAKO KUNYAMAZISHA NA KUVUNJA HIMAYA SUMBUFU KWA AJILI YA BAADAE
3: PAMBANA NA RUSHWA NA NUNUA WALA RUSHWA KWA FAIDA YA UCHAGUZI UJAO
4: WEKA WATU WAKO KWENYE NAFASI NA WAPE MIKAKATI YA KUHAKIKISHA HAKUNA ANAYEPINGANA NA WEWE NA IKIWEZEKANA POTEZA KABISA
5: JITIE UNA HURUMA KWA WALE AMBAO HAWAINGILII UTAWALA WAKO
6: TUMIA VIONGOZI WA DINI WAOGA NA WACHUMIA TUMBO KUJITANABAISHA U KARIBU NA MUNGU
7: INGIA MADARAKANI NA UTARATIBU MPYA BILA KUJALI ITAKUWAJE

NB: WELCOME TO: North West SA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom