Waziri, Ummy Mwalimu akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha madawa cha Kairuki Pharmaceutical Ltd, Kibaha

manyama2019

New Member
Feb 25, 2019
1
20
5.png

Msimamizi wa kiwanda cha madawa ya Kairuki, Dr. Muganyizi Kairuki akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara ya Waziri wa Afya, ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha madawa cha Kairuki Pharmaceutical Industry Ltd Mkoani Kibaha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom