Mpango kamili wa korosho ulikuwa ni huu

Mpango kamili wa korosho ulikuwa ni huu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
President Magufuli deploys army to purchase cashew nuts from

Baada ya wafanya biashara kugoma kununua korosho kwa bei ya Tsh 3,300. Rais aliagiza jeshi linunue korosho zote kwa bei ya zaid ya Tsh3,000 na aliahidi kuwa serikali itazitafutia soko korosho zote.

Kauli hii ilitolewa baada ya kufukuzwa kazi kwa waziri wa viwanda na waziri wa kilimo .Charles Tizeba na Charles Mwijage mlitolewa kafara.
 
Dada wa jf, sijakusoma hapo,kama wanavyosema vijana wa mjini.
Could you highlight your thread dada?
 
Dada wa jf, sijakusoma hapo,kama wanavyosema vijana wa mjini.
Could you highlight your thread dada?
Ilikua serikali ndio izinunue kisha yenyewe ndio iziuze, ikikosa wateja iwe hasara ya serikali yenyewe lakin wakulima wawe wameshalipwa chao na serikali sikitu (Sorry, I meant to say sikivu) why now inakua tofauti? Turudi kwenye mstari, tusitoke nje ya malengo
 
"Tutazitafutia masoko sisi wenyewe serikali"! Nakuuliza Mheshimiwa, sasa kimeshindikana nini kuzitafutia masoko?
Kamwe ikulu haipaswi kufanya biashara, kazi yake ni kuweka mazingira mazuri ya biashara basi. Ikulu ikijiingiza kwenye biashara itaishia kushindwa kama hapa.
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png

tapatalk_1550994809023-jpeg.1031447

 
Back
Top Bottom