Klabu ya wasoma vitabu Dar Es Salaam

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Wakuu!

Sina uhakika kama wazo langu hili ni jipya!-ila ninadhani kitu hiki kinaweza kuwepo tayari.Ningependa kujua hapa Dar es Salaam,au hata waliopo mikoani kama kuna Clubs za wasoma vitabu;ambapo badae upata muda wa kushirikishana kile kilichosomwa na kupanua nijadala yenye afya.Mwenye kujua anielekeze ni wapi na utaratibu wa kujiunga ukoje.Kama hamna nilikuwa na mpango wa kuanzisha kitu hiki,ambacho nina imani kitaweza kutusaidia walio wengi kuleta mabadiliko chanya kwa kizazi chetu.

Ahsante
 
Hii club ya aina hyo IPO ILA kwa sasa cna scces na hyo club kwa kifup IPO na Ni ma member kwny maktaba ya taifa na huwa wanakutana kwa ajil ya majadiliano
 
Mkuu we do have a club called Dar Book Club, every month we have a book to read and we meet once a month(usually end of month) to discuss the book. This month tunasoma LAW OF SUCCESS by Napoleon hill.

To join the group please send email to darbookclub@gmail.com

Please note we only read books much related to personal growth especially financially.

Karibuni sana
 
Back
Top Bottom