Chunya, Mbeya: Tetemeko la ardhi

Chunya, Mbeya: Tetemeko la ardhi

Smiling killer

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2018
Posts
1,289
Reaction score
1,126
Dakika chache zilizopita limepita tetemeko maeneo ya chunya mkoa wa mbeya na mkoa wa songwe!...kwa maeneo niliyopo hamna madhara labda mbele huko!ni tukio la kuogofya sana
 
Dakika chache zilizopita limepita tetemeko maeneo ya chunya mkoa wa mbeya na mkoa wa songwe!...kwa maeneo niliyopo hamna madhara labda mbele huko!ni tukio la kuogofya sana
Poleni.......
 
Hata mbeya mjini nasikia limepita ila halijasabibisha madhara
 
Dakika chache zilizopita limepita tetemeko maeneo ya chunya mkoa wa mbeya na mkoa wa songwe!...kwa maeneo niliyopo hamna madhara labda mbele huko!ni tukio la kuogofya sana
Poleni Sana sie huku Kwetu GEITA tushayazoea!!
 
msilale ndani wekeni majamvi nje kwa Usalama zaidi Poleni lakini
 
Wengine wanasema linaelekea Dar wengine wanadai jinsi linavyoonekana linaweza ishia tu hapo Morogoro.

Mkuu ulitaka lifike huko uliko? Inategemeana na ratiba ndugu yangu.huwa hayapangiwi route.

Linaelekea wapi mkuu?
 
Aisee hatari hiyo.... yaani hapo jiwe baada ya kupokea hii taarifa nakusikia kwamba halija sababisha Madhara ... Amelaani nakulaumu vikali _

Matarajio yake yote Tetemeko lisababishe madhara " halafu achukue hela za rambi rambi watakazo changiwa wahanga " ili aongezee kwenye Zile trill.1.5

Sent using Jamii Forums mobile app
Mweh Mweh.....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwanini magufuli tangu awe "rahisi" anaogopa kwenye mkoa wa Mbeya ?
 
Back
Top Bottom