Sare za Polisi kama tulivyorithi kutoka kwa wakoloni

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1551024172052.jpeg

Polisi wa Congo zamani ilijulikana kama Belgium Congo


1551024383434.jpeg

Polisi wa Mali iliyokuwa koloni la Ufaransa

1551024587721.jpeg

Polisi wa Uganda ambayo ilikuwa under British guardiansship

1551024752318.jpeg

Polisi wa India hapa ndipo historia ya khaki uniforms ilipianzia. Waingereza walikwenda India na uniform nyeupe, kutokana na rangi ya udongo, hali ya hewa na mazingira ilikuwa shida kutunza uniform nyeupe ndipo walipozibadilisha kuwa khaki.

Sare ya khaki ilikuwa vazi kwa nchi zote za Jumuia ya Madola hasa kusini mwa Sahara. Hata Misri wana sare za khaki.
 
Back
Top Bottom