Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ameokotwa usiku wa tarehe 25 Februari 2019 na bodaboda pale NIDA Kibaha. Yupo Tumbi hospitali, yupo salama kiafya ila tu alikuwa amechoka sana kwa njaa na jua Kama kuna mtu ana taarifa kuwa kuna...
28 Reactions
121 Replies
12K Views
Joseph Mbilinyi MISSION: Personally nitaenda Ikulu kumpelekea Rais Kikwete copy ya Anti-Virus Mixtape Vol 2 pamoja na zawadi ya Tshirt ya Anti-Virus...Ili naye asikilize vijana wa taifa lake na...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ukiwa unafanya biashara hasa ya kusafiri utajifunza mengi. Ndugu zangu maeneo ya Iringa, Mbeya hasa nje ya mji nguruwe wanafugwa kama mbuzi. Hakuna udhibiti ,wanafunguliwa asubuhi wanarudi. Cha...
2 Reactions
82 Replies
15K Views
ILIYO TUFIKIA MEZANI; muasisi,mkurugenzi,meneja,vipindi kutoka clouds media group ruge mutahaba amefariki dunia Leo,, jina labwana lihimidie kilanafsi itaonja umauti,
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilikutana na huyu mama mtu mzima wa miaka zaidi ya 75, aliyefiwa na mwanae pekee aliyekuwa anamjali sana. Alikuwa na wanawe wengine watatu ambao kiukweli walionekana ni mzigo kwake, kwani...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi umewahi kukakaa na kuwaza kama ukifa leo, ni nani atakaye kulilia? Je ni mama yako? Au yule dada yako? Au mchepuko wako ulioununulia Iphone ya gharama au mangi aliyekuwa anakukopesha vitu...
4 Reactions
30 Replies
6K Views
Pengine nilisemalo unaweza dhania natania ila ndo ukweli ulivyo kuna almashauri zinauza vitambulisho vya Rais kwa Mabar AMEDI na leo bahati nzuri nimewaona kwa macho yangu! Ni ili ni agizo la...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Tanzania House Of Talent (T.H.T) Bw. Ruge Mutahaba amemtaka Mkurugenzi wa Deiwaka Production Bw. Joseph Mbilinyi a.k.a Mr II a.k.a Sugu amwombe msamaha dhidi ya tuhuma zilizotolewa...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Boss anatema cheche juu ya masuala mengi kuhusu Fiesta,aongelea suala muda na kuonyesha hali ya masikitiko juu ya zuio la muda kutoendana na muda uliopangwa kisheria na BASATA...
5 Reactions
108 Replies
15K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juuu Mnamo mwaka Jana mwezi wa 12 nilimpoteza mama yangu (rip)ambaye alikuwa Mtumishi wa serikali......... Baada ya kukamilisha taratibu zote za Mahakama ya mwanzo na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawasalimu ndugu zangu! Tanzania, hasa shule za serikali ambazo mimi nimesoma primary mpaka A-level kuna mchezo wa kuweka tension kubwa kwa wanafunzi wa darasa la nne, lasaba kwa shule za msingi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Najaribu kutafakari kwa sauti. Hivi ni kweli Dar es Salaam ya Kaka yangu Makonda. Bado tu hajaona au hata kufikiria jinsi ya kuwasaidia wanachi wake pale kwenye kituo cha mabasi ya mikoani. Kituo...
2 Reactions
56 Replies
9K Views
Kwa wafanyakazi tulio wengi, hiki kibwagizo tumekutana nacho sana. Ama kutoka kwenye vinywa vya viongozi wetu kazini au kwa wafanyakazi wenzetu wasio na maono. Kwa ufupi ujumbe wa mara kwa mara ni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
==== (CNN) — Tanzania rarely features in discussions of Africa's soccer hotspots. But that perception might be changing thanks to the skills of soccer freestyle queen Hadhara Charles, which are...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya mvutano katika uendeshaji, Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), umesema umemtafuta mshauri elekezi anayefanya utafiti kuhusu namna bora itakayokuwa na masilahi kwa pande zote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kulingana na social network kama fb,whtsp,na instagram kutokuwa na faida kwangu,sasa nimeamua kutumia jamiiforum kwa sababu naamini nitajifunza mengi.
10 Reactions
61 Replies
6K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa mkoa wa Shinyanga kutumia fursa ya miundombinu ya afya inayojengwa na serikali kudhibiti vifo vya...
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Haya ni malalamiko nimeyasikia kwa ndugu na jamaa katika familia zetu huku ma FIELD na nikaona sio mbaya nami nikitaka kujua..., Ukituma barua kwa njia POSTA hasa njia ile ya TANZANIA...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Taasi ya kimataifa ya Jane Goodall,imeanza ujenzi wa makumbusho maalum ya sokwe mtu jijini Arusha yatakayokuwa na teknologia ya kisasa zaidi inayoendana na ulimwengu, yakiwa ya kwanza kujengwa...
1 Reactions
3 Replies
896 Views
Back
Top Bottom