Nimeachana na Facebook, WhatsApp na Instagram natumia JamiiForums

Kulingana na social network kama fb,whtsp,na instagram kutokuwa na faida kwangu,sasa nimeamua kutumia jamiiforum kwa sababu naamini nitajifunza mengi.

Kiukweli mimi instagram na twitter nimezifunga, yaani delete kabisa sina account na facebook nipo ila nimeblock mtu yeyote ambaye sie rafiki asione kilichopo kwangu, pia hamna picha. Nimetoa zote.
Ila kwa whatsapp nipo ktk magroup kadhaa, kama haupo ktk grp lolote whatsapp basi wewe ni lonely person!!
 
kuishi marekani raha! hadi babu anaitwa baby ngoja nifanye mpango nihamie marekani baada ya kuuza nyumba ya urithi ya baba mwananyamala..

mkuu bora ubaki hapa hapa bongo baba trump hataki mablack
 
instagram na whatsapp ni ulevi wangu siwez kuacha... hata nyie mnaodai mmezifuta nadhan mmejipa likizo tu ila mtarud tu..
 
Wee kama ni mtoto wa mama na kampani za kijinga huwezi kujua faida ya social network kama whatsapp, inst na fb!

Wabongo ndiyo mnaharibu taswira za inst na fb kwa matumizi mabovu
 
Back
Top Bottom