Mara nyingi nimekuwa nikipiga story na baadhi ya wadau huku wakisema kuwa vijiwe vya wanywa na wauza kahawa pamoja na jumuiya za nyumba kwa nyumba za kikatoliki ni source nzuri ya habari za...
Rais John Magufuli ameeleza kufurahishwa kwake na taarifa za kufanyika kwa mafanikio kwa upasuaji wa kwanza uliofanywa na Daktari Bingwa Prof. Yuanil kwa kushirikiana na wataalam wazawa kutoka na...
Aliyesimama katikati pichani ni Mtanzania kwa jina la George Jonas Mwanjisya akiwa anapokea tuzo mbele ya Balozi wa Tanzania nchini Marekani (Balozi Masilingi) mwezi huu wiki iliyopita. George...
Yaani kila ma mp ninao waona kuanzia ngazi ya chini ni prvt hadi mwisho wa cheo cha juu ni staff sagent. Yaani sijawahi kuona mp labda luten usu au luten kamili au captein au meja.
Hua najiuliza...
Wakazi wa Jiji la Biashara Afrika Mashariki na Kati, Dar es Salaam naomba kujulishwa!
Nina miaka 1.5 sasa toka nipigwe na Dafrao la kuhamia Dodoma! Siku tunarudi mara moja moja kujenga famila na...
Hizi media zenye jina la East Africa kwakweli hatitendei haki watazamaji/ wasikilizaji wake, wataalamu wanasema jina la kitabu linasadifu yaliyomo ndani, lakini kwa hizi media sivyo hivyo.
Ni...
Kwanini muda sasa kumekuwa na baadhi ya watanzania ambao kila kukicha wao ni kuiombea nchi yetu nzuri ipatwe na mabaya tu kwa kila sekta.
Ukisoma mitandao mingi hiyo ndiyo imekuwa fasheni sasa...
Leo ktk taarifa ya habari ITV imetangazwa na kuonesha taarifa ya kufikishwa Mahakamani "Mkurugenzi" wa Itigi yeye na watuhumiwa wenzake,cha kushangaza bado mpaka sasa anatambulika kama Mkurugenzi...
Mkuu wa wilaya ya Longido Frenk Mwaisumbe ameagiza kukamatwa kwa mwekezaji wa Kampuni ya uwindaji ya Green Mille's Safaris LTD Awardhi Abdallah Ally popote alipo na kufikishwa kwenye vyombo vya...
WAZIRI wa Maji Proffesa Makame Mbarawa amesema serikali kupitia mamlaka za maji watahakikisha wanapeleka huduma ya maji safi na salama kwenye vijiji vilivyopo karibu na vyanzo vya maji ili...
Habari wanajamvi
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada husika
Nilimaliza kidato cha sita mika kumi na moja(2008),nikisoma mchepuo wa sayansi.Kuna ndoto huwa inanitokea mara kwa mara siwezi...
Kwa mara ya kwanza tangu miaka mingi jiji la Arusha leo limeshuhudia mvua iliyoambatana na barafu. Nimekuwepo Arusha toka mwaka 2000, leo ni mara ya kwanza kushuhudia mvua iliyoambatana na barafu
Watoto wawili wa familia moja wamefariki dunia huku watu 77 wakazi wa kijiji cha Mibungonanakwekwe wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza wakikosa makazi baada ya nyumba zao 16 kubomolewa kwa mvua...
ile gari inachongwa kwa fundi juma kwa gharama isiyozidi elfu kumi.
Babywalker utanunua supermarket kuanzia 90K.
uzoefu na malalamiko mtaani, vile vibabywalker mtoto hatembei kwa wakati, ila...
POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu 18 kwa tuhuma za makosa mbalimbali, ikiwemo kupatikana na silaha ya kivita aina ya AK 47 na pembe za ndovu tisa, zenye thamani ya Sh milioni 210.
Kamanda...
Mume wa mbunge wa Segerea, Moses Stewart Kaluwa ametuma barua ofisi za bunge ikimtaka Mheshimiwa Bonnah Kaluwa aache kutumia majina yake ya mwisho mara baada ya kupeana talaka. Pia barua hiyo...
Jinsi simu yako inavyoweza kukusaidia kuipata gari yako au boda boda iliyo ibiwa.
Kabla ya kufahamu jinsi simu inavyoweza kutusaidia kupata gari au boda boda iliyo ibiwa kwanza tufahamu vitu hivi...
usicheze na imani za watu, usicheze na vitu vinavyogusa hisia za watu, imani za dini mbalimbali zimeteketeza maelfu kwa maelfu ya watu wasio na hatia, kibwetere wa uganda na applewhite wa heaven...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.