Mwanafunzi hao wa shule ya msingi Diovuva wamelazimika kusoma kwa kupokezana
Wapo wanaoingia shuleni hapo asubuhi na wengine wanaingia mchana hali ambayo si rafiki kwa ufundishaji
Shule hiyo kwa...
Jamani nani ana habari kamili za huyu kaka @mr_botion Jina lake kamili ni nani yuko jela ya wapi na tokea lini??
. .
Mdau #2
Mange huyu dogo hajawekwa ndani kwa kosa hilo moja kwa moja. Huyo dogo...
Advocaat Maroo na Pastor wameendelea kumtishia mjane mama Juliana Kahangi. Asaini mikataba iliyondaliwa na Maroo Advocaat na pesa atakazo lipwa mjane huyo zipitie kwenye account ya PASTOR pamoja...
Mzee wangu siku zote hunambia hakuna mwisho wa kujifunza. Na kujifunza hutoka kwa kila mtu kwa matendo yake mema au mabaya.
"Roho Finyango" huu ni uchawi ambao waswahili wengi tunao. Kuwaombea...
Kwa sababu zamani Hapakuwa na knowledge ya kutosha juu ya Hawa viumbe wasionekana yaani kina bacteria wanaosababisha magonjwa ilimbidi mtume awaambie watu kuwa chooni Kuna majini ili watu wawe na...
Katika mahojiano yake na clouds anasema kuwa bila Clouds media hakuna msanii yeyote angekuwa star hadi leo hii, anasema Clouds ndio baba lao na kama isingekuwepo hata hawa mastar wa leo...
Kauli anazotoa Musiba ni uchochezi wa wazi kabisa, sielewi kwa nini polisi hawana habari naye, labda mpaka awe mwanachama wa Chadema ndiyo atachukuliwa hatua. Mfano
1. Anapodai FBI ni shirika...
Ipo fursa kubwa sana Arusha mjini ya uuzaji wa Vioo vya magari.
Kuna hawa jamaa wapo pale chinjachinja maarufu kama Limpompo ndio wamedominate soko la vio vya magari kwa arusha mjini , hawa jamaa...
Nimejiuliza ni utaratibu wa kawaida kwa maabusu kufanya usafi katika maeneo ya vituo vya polisi, hii nimeiona sana na katika hali ya kunishangaza nilishuhudia vijana wawili baada ya kupata dhamana...
Wahitimu wa Vyuo Vikuu msiamini sana katika kuajiliwa either serikalini au mashirika binafsi.
Kilimo ni kila kitu jamani.
Unganeni hata mkiwa watatu au watano mkodi shamba sehemu nzuri za...
Leo majira ya saa 07:45 asubuhi ndege yetu pendwa ilikua tayari imeshashuka mita chache kufika chini ikijiandaa kutua wakati huo mimi nikiwa kwenye bus aina ya coaster linalotoka mjini kwenda...
Wakuuu mada inajieleza, tunaomba wale wooote waliochangia mpendwa wetu ruge kufariki watubu, mwaka mmoja na nusu nyuma tuliona baadhi Ya watu wakimwandama marehemu na kumdhalilisha na kupambana...
Makonda amesema yeye na Ruge wana mahusiano mazuri na wamekuwa wakiwasiliana tangu Ruge alipolazwa India.
Makonda amedai Ruge alishafika nyumbani kwake kumsalimia mtoto halikadhalika Makonda...
Nimemaliza maandalizi yangu nikiwa na siku kama nne kabla ya tarehe ya kuondoka arusha kwenda mwanza, naingia mtandaoni kufanya booking natafuta hii route siioni napiga simu naambiwa lazima neende...
WALINITUMIA SMS HIZI:-
24 Feb 2019 SAA 2305
+255 745 995 827 alituma SMS hii:
Tatu Mzuka (JACKPOT) Hongera Umeshinda TSh.6,000,000/=milioni Sita Katika Droo Ya Saa 11 . Tatu Mzuka Inabadilisha...
Ile kiukweli kabisa toka moyoni naona ni vyema uchaguzi wa 2020 uhairishwe tu, maana hata ukimchagua au usipomchagua yeye ndie atakaekua Rais, hilo ni guaranteed, na hata hawa wabunge na madiwani...
Mbeya. Hatimaye mwili wa Frank Kapange (22) leo Jumanne Februari 26,2019 umechukuliwa na familia yake katika Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya baada ya kukaa mochwari miezi nane na siku 22...
Kiwanda kikubwa Africa cha bidhaa za ngozi kujengwa Tanzania ambapo kutakua na zaidi ya viwanda 6 ndani yake.
Ikumbukwe Tanzania ni ya pili Africa kwa wingi wa mifugo na ni moja ya wazasambazaji...
Utata mkubwa umejitokeza ni nani aliekuwa na haki ya kutangaza tamasha la Zinduka ,..yaani kampeni ya kitaifa ya uzinduzi wa kukataa malaria.
Hali hiyo imejitokeza leo baada ya msanii Mr II...
Rege Mutahaba ni mkurugenzi wa Tanzania House of Talents (THT). Hivi karibuni alifanya interview na blog ya Mo.
Nime quote swali na jibu la kwanza kabisa hapo chini. Unaweza kusome interview...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.