Kama vitambulisho vya Rais hata BAR amedi anapewa basi wruhusiwe kuuza NYETI PIA!

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,010
8,355
Pengine nilisemalo unaweza dhania natania ila ndo ukweli ulivyo kuna almashauri zinauza vitambulisho vya Rais kwa Mabar AMEDI na leo bahati nzuri nimewaona kwa macho yangu!

Ni ili ni agizo la mkurugenzi wa Almashauri ameelekeza mpk fundi viatu na Bar Amedi wauziwe virambulisho!

Mimi sioni shida sema nashauri kwa kuwa Bar Amedi huwa wanauza bia na kwa kuwa imegundulika kuwa wengi wao ulipwa ujira mdgo, na pengine kupelekea kujiuza ili waweze kukidhi ugumu wa maisha basi nashauri hiv

Kwa kuwa wao huwa wanauza bia zenye mwenyewe, waruhusiwe kupitia kitambulisho hicho kuuza nyuchi zo kihalali
Ni hayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bar maids ni waajiriwa wa bars fulani, hawapaswi kulazimishwa hivyo vitambulisho, ni uonevu huu!
 
Pengine nilisemalo unaweza dhania natania ila ndo ukweli ulivyo kuna almashauri zinauza vitambulisho vya Rais kwa Mabar AMEDI na leo bahati nzuri nimewaona kwa macho yangu!

Ni ili ni agizo la mkurugenzi wa Almashauri ameelekeza mpk fundi viatu na Bar Amedi wauziwe virambulisho!

Mimi sioni shida sema nashauri kwa kuwa Bar Amedi huwa wanauza bia na kwa kuwa imegundulika kuwa wengi wao ulipwa ujira mdgo, na pengine kupelekea kujiuza ili waweze kukidhi ugumu wa maisha basi nashauri hiv

Kwa kuwa wao huwa wanauza bia zenye mwenyewe, waruhusiwe kupitia kitambulisho hicho kuuza nyuchi zo kihalali
Ni hayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni unafiki tajeni ni halmashauri gani ili tujue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo kama wanauza papuchi wanaingia hapo kwenye hivyo vitambulisho kama wajasiliamali wadogo wadogo.
 
Basi na walimu wauza kashata wapewe hivyo vitambulisho

VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
Sasa naona kila mtu apewe hicho kitambulisho. Kuna madaktari huja kututibu masaa ya baada ya kazi na tunawalipa. Wengine huenda hosp binafsi nako wanalipwa.
Wauza korosho nao wapewe vitambulisho wakati wanadai malipo yao maana wanafanya biashara. Hakuna atakayeachwa na hii kodi ya kichwa mpya.
 
Pengine nilisemalo unaweza dhania natania ila ndo ukweli ulivyo kuna almashauri zinauza vitambulisho vya Rais kwa Mabar AMEDI na leo bahati nzuri nimewaona kwa macho yangu!

Ni ili ni agizo la mkurugenzi wa Almashauri ameelekeza mpk fundi viatu na Bar Amedi wauziwe virambulisho!

Mimi sioni shida sema nashauri kwa kuwa Bar Amedi huwa wanauza bia na kwa kuwa imegundulika kuwa wengi wao ulipwa ujira mdgo, na pengine kupelekea kujiuza ili waweze kukidhi ugumu wa maisha basi nashauri hiv

Kwa kuwa wao huwa wanauza bia zenye mwenyewe, waruhusiwe kupitia kitambulisho hicho kuuza nyuchi zo kihalali
Ni hayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan hawa ma bar man na barmaid wewe unawachukuliaje?
Au unadhani kila bar man au bar maid ni watu wa papuchi na mbopuchi eh?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengine nilisemalo unaweza dhania natania ila ndo ukweli ulivyo kuna almashauri zinauza vitambulisho vya Rais kwa Mabar AMEDI na leo bahati nzuri nimewaona kwa macho yangu!

Ni ili ni agizo la mkurugenzi wa Almashauri ameelekeza mpk fundi viatu na Bar Amedi wauziwe virambulisho!

Mimi sioni shida sema nashauri kwa kuwa Bar Amedi huwa wanauza bia na kwa kuwa imegundulika kuwa wengi wao ulipwa ujira mdgo, na pengine kupelekea kujiuza ili waweze kukidhi ugumu wa maisha basi nashauri hiv

Kwa kuwa wao huwa wanauza bia zenye mwenyewe, waruhusiwe kupitia kitambulisho hicho kuuza nyuchi zo kihalali
Ni hayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza bar amed ndio kitugani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Almshauri ya kwimba NGUDU ma BAR AMED WA CLUB SAFARI

Sent using Jamii Forums mobile app
Wahudumu wa bar ni wafanyakazi waliochini ya ajira rasmi ya muajiri wao na wanatakiwa wawe na mikataba ya ajira. Hawapaswi kupewa vitambulisho vya mjasiriamali mdogo. Kufanya hivyo ni uzwazwa kama sio ujinga.

Hivi watendaji wa rais huwa wanamuelewa kweli?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom