Huduma mbovu kituo cha mabasi Ubungo,Dar es Salaam

Huduma mbovu kituo cha mabasi Ubungo,Dar es Salaam

maya mikel

Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
55
Reaction score
101
Najaribu kutafakari kwa sauti.
Hivi ni kweli Dar es Salaam ya Kaka yangu Makonda. Bado tu hajaona au hata kufikiria jinsi ya kuwasaidia wanachi wake pale kwenye kituo cha mabasi ya mikoani. Kituo hakina sehemu nzuri ya kukaa abiria, hakuna vyoo vizuri yaani pabovu.
Kinacho nisikitisha ni kwamba wananchi wanalipishwa 300/- unapoingia kituoni hapo. Kuna maelfu ya watu wanatumia kituo hiko, swali langu je, Kuna faida gani za moja kwa moja wananchi wanapata kwenye kituo kibovu hivi kwa 300/- wanazolipia hapo.
Cha ajabu zaidi hicho kituo kipo kwenye Jimbo la wale wenzangu wanaopiga Sana kelele Bungeni.
Aibu! Kama wanashindwa kufikiria kusaidia vitu vidogo hivi Tukiwapa Nchi wataweza.
ubungo4.jpeg
Ubungo2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii miradi ni ya watu naona
Halafu tamaa mbaya sana yaani zote zinaenda mfukoni
Basi wawe na utu kidogo hata kuwekeza hapo na paonekane kweli hizo hela zetu zinatumika kihalali

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
stand ya mkoa inajengwa hapa mbezi.magari yote ya mkoani yatakiwa yanaanzia hapa.hiyo ya ubungo inavunjwa

wangekuwa wamesha jenga sema vijan wa bavicha mubenea na mnyika walitaka walipe 10% jpm akwashukia ndio naona wameanza kujenga muda huu
Hiyo Ni baadae Je, Nini suluhisho la Sasa hivi.
Nini faida watu wanapata kwa kulipia kituo kibovu hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pachafu sana,kuliko mikoani,pana vumbi,hakuna mpangilio wa magari kupaki,pana giza,hakuna maji,vyoo ni uchafu kabisa,jengo la kupumzika abiria ni la kizamani na chafu pia.
Eti DARISALAMA[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji3][emoji38][emoji38][emoji3][emoji3]
 
Naona hii ndio ile Dar es Salaam Mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom