The Illicit Mc
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 469
- 642
Haya ni malalamiko nimeyasikia kwa ndugu na jamaa katika familia zetu huku ma FIELD na nikaona sio mbaya nami nikitaka kujua...,
Ukituma barua kwa njia POSTA hasa njia ile ya TANZANIA STAMP...,inaweza kuchukua siku ngapi kwa barua kufika katika ANUANI ya MUANDIKIWA? Tena kama muandikaji yuko BUKOBA na MUANDIKIWA yuko MTWARA? nimeomba kuuliza kwa wahusika je, njia hii bado ni rafiki pia.? Manake kuna watu bado wanatumia njia hii, na hasa wanafunzi ambao wameambiwa kufanya application iwe direct katika anuani ya vyuo wanavyohitaji na wengine ukiangalia unakuta vigezo wanavyo ndio, ila nakuwa na mashaka labda wahusika hawajapata barua hizo au walipata kwa kuchelewaa.
ninachoamini ni kuwa ukitumia njia ya EMS kweli barua inafika kwa wakati... ila pia kuna watu hutumia njia hizo za KIZAMANI bado hasa ya stamp.
NB; JE..., BADO NJIA HII NI RAFIKI KATIKA MATUMIZI YA KILA SIKU,NA HUFIKA KWA MUDA GANI KWA WAHUSIKA??