Kibaha, Pwani: Mtoto ameokotwa jirani na ofisi za NIDA

Kasinja jr

JF-Expert Member
Aug 4, 2017
1,034
1,792
Ameokotwa usiku wa tarehe 25 Februari 2019 na bodaboda pale NIDA Kibaha. Yupo Tumbi hospitali, yupo salama kiafya ila tu alikuwa amechoka sana kwa njaa na jua

Kama kuna mtu ana taarifa kuwa kuna ndugu, jirani, jamaa aliyekuwa amejifungua karibuni na sasa hana mtoto tafadhali toa taarifa Polisi

IMG-20190225-WA0150.jpg
 
Back
Top Bottom