Kutekwa kwa Mo Dewji: Aliyepokea zawadi ya bilioni moja soon or later atajulikana

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,749
Kadhia ya bilionea kijana imeisha ikiacha maswali mengi kuliko majibu... Hakuna haja ya kuyarudia, yameshajadiliwa sana... Kadhia hii ilikuwa na episodes mbili muhimu
1. Kupotea alfajiri
2. Kupatikana alfajiri

Wengi wameshangazwa na kupatikana kwake. Wanasema hakukuwa na msisimko wowote, wanahisi ni tukio lililokuwa limepangwa... Huu ni mtazamo wao na pengine wana hoja. Wasibezwe..!!!

Langu ni hili
Kwa hali jinsi ilivyo aliyepokea zawadi ya bilioni moja, ndiye huyohuyo kapokea na kikomboleo (RANSOM)... Yani kapiga mbili kwa moja.... Nazungumzia RANSOM kwakuwa familia ilishaweka wazi kuwa nia ya watekaji ilikuwa ni kupata pesa

Ukiachana na mkanganyiko wote kuhusu gari lililotumika, mazingira aliyokutwa na mawasiliano yenye ukakasi na familia kuna kila dalili eneo hilo ndilo lililotumika kupeana zawadi na kikomboleo.. Na watu wa familia ndio walipeleka wenyewe, wakahakikisha ndugu yao yuko salama, wakakabidhi mpunga, wakakabidhiwa ndugu yao Wakaondoka.

Watekaji na mpunga wao wakasogea ufukweni kwenye boat iliyokuwa ikiwasubiri wakasepa zao... Baada ya hapo yakatengenezwa mazingira ya kupatikana kwake...

Je, watekaji hawakupewa pesa bandia? Ama pungufu?

Hapa familia inakuwa imeshaonywa kitambo kuhusu hilo hivyo hawawezi kufanya ujinga... Pili watekaji huwa na informers wanaowapa habari zote, hivyo tunaamini kila kitu kilienda sawa..

Kadhia hii imeisha kwakuwa mateka kapatikana, lakini kuna episode 3, ambayo ndio tamu zaidi.

Kuna mengi yamefichwa na wahusika, lakini tabia ya binadamu yoyote hawezi kukaa na siri milele.. Kuna siku koromeo litamuwasha ataropoka

Pesa nyingi ya chap chap ina hulka moja.. Kutapanya... Katikati ya ukata huu kuna watu wataanza kuporomosha majumba na kununua magari ya kifahari.. Pesa itaongea tuu.. Watafanya ya ulimbukeni mpaka watajulikana

Dhuluma..! Kwenye kila misheni lazima ihusishe zaidi ya mtu mmoja na kila mmoja huwa na share yake... Kama kati yao kuna ambao hawakuridhika na mgao kuna siku wataongea

Usaliti...! Along the way wahusika baadhi wanaweza kuhitilafiana kwa mambo mengine kabisa, lakini mmoja akaamua kusaliti kiapo cha usiri na kuamua kumwaga mtama kwenye kuku wengi... Mmoja akimwaga mboga mwingine atamwaga ugali.
Patamu hapo...

Ili kuondoa ushahidi ama hofu ya usaliti, wahusika wanaweza kuamua kuwanyamazisha baadhi ya wahusika. Hapa baadhi yao watatoweka ama kukumbwa na vifo vya ghafla... Ikitokea mmoja akanusurika ama akashtukia mpango mapema. Na kuamua kujilipua... Jua kucheleeeee

Jamaa kapatikana sio mwisho ni mwanzo wa episode nyingine kali.... Tuwahi kibaruani tukajenge taifa....!!!
 
Nchi hii .... acha kabisaaa
tenor.gif
 
Kadhia ya bilionea kijana imeisha ikiacha maswali mengi kuliko majibu... Hakuna haja ya kuyarudia, yameshajadiliwa sana... Kadhia hii ilikuwa na episodes mbili muhimu
1. Kupotea alfajiri
2. Kupatikana alfajiri
Wengi wameshangazwa na kupatikana kwake... Wanasema hakukuwa na msisimko wowote, wanahisi ni tukio lililokuwa limepangwa... Huu ni mtazamo wao na pengine wana hoja.. Wasibezwe..!!!

Langu ni hili
Kwa hali jinsi ilivyo aliyepokea zawadi ya bilioni moja, ndiye huyohuyo kapokea na kikomboleo (RANSOM)... Yani kapiga mbili kwa moja.... Nazungumzia RANSOM kwakuwa familia ilishaweka wazi kuwa nia ya watekaji ilikuwa ni kupata pesa
Ukiachana na mkanganyiko wote kuhusu gari lililotumika, mazingira aliyokutwa na mawasiliano yenye ukakasi na familia kuna kila dalili eneo hilo ndilo lililotumika kupeana zawadi na kikomboleo.. Na watu wa familia ndio walipeleka wenyewe, wakahakikisha ndugu yao yuko salama, wakakabidhi mpunga, wakakabidhiwa ndugu yao Wakaondoka....
Watekaji na mpunga wao wakasogea ufukweni kwenye boat iliyokuwa ikiwasubiri wakasepa zao... Baada ya hapo yakatengenezwa mazingira ya kupatikana kwake...

Je watekaji hawakupewa pesa bandia? Ama pungufu?
Hapa familia inakuwa imeshaonywa kitambo kuhusu hilo hivyo hawawezi kufanya ujinga... Pili watekaji huwa na informers wanaowapa habari zote, hivyo tunaamini kila kitu kilienda sawa..

Kadhia hii imeisha kwakuwa mateka kapatikana, lakini kuna episode 3, ambayo ndio tamu zaidi...
. Kuna mengi yamefichwa na wahusika, lakini tabia ya binadamu yoyote hawezi kukaa na siri milele.. Kuna siku koromeo litamuwasha ataropoka
. Pesa nyingi ya chap chap ina hulka moja.. Kutapanya... Katikati ya ukata huu kuna watu wataanza kuporomosha majumba na kununua magari ya kifahari.. Pesa itaongea tuu.. Watafanya ya ulimbukeni mpaka watajulikana
. Dhuluma..! Kwenye kila misheni lazima ihusishe zaidi ya mtu mmoja na kila mmoja huwa na share yake... Kama kati yao kuna ambao hawakuridhika na mgao kuna siku wataongea
. Usaliti...! Along the way wahusika baadhi wanaweza kuhitilafiana kwa mambo mengine kabisa, lakini mmoja akaamua kusaliti kiapo cha usiri na kuamua kumwaga mtama kwenye kuku wengi... Mmoja akimwaga mboga mwingine atamwaga ugali.. Patamu hapo...
. Ili kuondoa ushahidi ama hofu ya usaliti, wahusika wanaweza kuamua kuwanyamazisha baadhi ya wahusika... Hapa baadhi yao watatoweka ama kukumbwa na vifo vya ghafla... Ikitokea mmoja akanusurika ama akashtukia mpango mapema... Na kuamua kujilipua... Jua kucheleeeee

Jamaa kapatikana sio mwisho ni mwanzo wa episode nyingine kali.... Tuwahi kibaruani tukajenge taifa....!!!

wamepokea walio tuonya tukitaka upelelezi twende ccp moshi
 
Wameshatoa 1 billion, Acha wanyonge tuwarudishie ka billion kao kupitia visoda Na vi juice Uchwara tunavyofakamia daily

Ile Billion 1 Ni Mkopo wa Masharti nafuu Kwa Wanyonge ambao tutaurudisha tu

Watupige Michele feki, Mafuta feki ya kula mijuice feki n.k
 
Uvccm anamshambulia ccm mwenzake, kweli maccm yanataka matajiri wawe kama mashetani
 
Hivi si familia ilisema mapema kwamba motive ya utekaji ni ransom? Kama walisema hivyo walijuaje hilo wakati kwa maelezo yaliyotolewa na viongozi wa polisi baada ya MO kupatikana ni kwamba watekaji walikuwa wanataka kuongea na babake MO kwa simu ili kudai hizo pesa lakini wakahofia mawasiliano yao kunaswa na vyombo vya usalama? Au watekaji walitumia njia ipi mbadala kuwasiliana na familia ya mtekwaji na kuwaambia kwamba wamemteka ndugu yao kwa sababu ya kutaka pesa kutoka kwao? Pili, hivi hilo dau la 1B halikugawanywa au halitagawanywa kweli kwa watu wawili watatu waliofanikisha au wanaojidai kufanikisha upatikanaji?
 
Watekaji na mpunga wao wakasogea ufukweni kwenye boat iliyokuwa ikiwasubiri wakasepa zao... Baada ya hapo yakatengenezwa mazingira ya kupatikana kwake...

Je, watekaji hawakupewa pesa bandia? Ama pungufu?

Hapa familia inakuwa imeshaonywa kitambo kuhusu hilo hivyo hawawezi kufanya ujinga... Pili watekaji huwa na informers wanaowapa habari zote, hivyo tunaamini kila kitu kilienda sawa..
Kwa hili nakuelewa! Ila kama yupo salama tunashukuru. Tuombe wahusika Mungu awalipe hapahapa duniani!
 
Hivi si familia ilisema mapema kwamba motive ya utekaji ni ransom? Kama walisema hivyo walijuaje hilo wakati kwa maelezo yaliyotolewa na viongozi wa polisi baada ya MO kupatikana ni kwamba watekaji walikuwa wanataka kuongea na babake MO kwa simu ili kudai hizo pesa lakini wakahofia mawasiliano yao kunaswa na vyombo vya usalama? Au watekaji walitumia njia ipi mbadala kuwasiliana na familia ya mtekwaji na kuwaambia kwamba wamemteka ndugu yao kwa sababu ya kutaka pesa kutoka kwao? Pili, hivi hilo dau la 1B halikugawanywa au halitagawanywa kweli kwa watu wawili watatu waliofanikisha au wanaojidai kufanikisha upatikanaji?
Mkuu akikujibu mleta mada niite,Nyaka-One
 
Hapa baadhi yao watatoweka ama kukumbwa na vifo vya ghafla.

Kama ilivyosemwa na wengi kuwa hii ilikuwa cinema!!! Nilikuwa naangalia cinema moja inayohusu biashara ya madawa ya kulevya huko nchi ya MEXICO; mbinu moja wanayotumia kuvusha madawa yao kuingiza nchini Marekani ni kuchimba mitaro kutoka nchini mwao chini kwa chini mpaka nchini Marekani. Uchimbaji wa mitaro hii hufanyika kwa siri sana lakini hufanywa na wachimbaji wengi!! Mtaro ukisha kamilika na biashara kushamili wale wote waliohusika na uchimbaji wake hupigwa risasi na kuuawa ili kutunza siri!!!

Nimesimulia kisa hiki ili kukubaliana na Mshana Jr. kuwa hao waliohusika na sakata la kumteka Mo;siku ya siku watakuja julikana kwa dhahama watakayokuja kuipata!! Umafia waliofanya mwisho wake watakuja chinjana tu hata kama ni askari ili kuficha siri!!
 
Back
Top Bottom