Nimeshuhudia mtu akikata roho LIVE

RO7 ZA MGOS

JF-Expert Member
Sep 27, 2016
1,783
4,969
Habari,

Naomba ku share tukio la jana ktk mkoa fulan hapa bongo

SAA 9 ALASIRI
Nikiwa nmefura kwa hasira namna system ya OTEAS ilivokuwaa inanipa tabu mimi na wezangu kadhaa napigiwa simu na mama yangu mdogo niende hospital faza mdogo anaumwa sn kwan alikuwa haongei kabsa.

SAA 10 ALASIRI
Nafika hospital namcheki mgonjwa kwel n taaaban na alikuwa na mama angu mdogo tu ambaye ndo mkewe. Kwenye ward (hodi) kulikuwa na wagonjwa 3 tu wawil ilikuwaa very terrible mmoja ambaye n kjn wa makamoo ilikuwaa afadhari kidogo ilaa tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale.

SAA 2 USIKU
Kwakuwa kulikuwa hakuna ndg yetu wa kiume aliyekuja kumwona mzee ilibid nilale na mgonjwa muda huo alikuwa hajitambui na niliruhusiwa kulala mulemule na manes.

SAA 4 USIKU
mgonjwa ambaye n kjn mule ndani aliniomba nimfungie net mbu n wengi. Muda huo kulikuwaa na mdada mrembo alikuja kumwona huyo kijn so tulisaidiana kufunga net.kama baada ya sa moja yule mlimbwende alisepa wanaita soo nikaombwa ni take care hata kwa kjn yule bahat zuri mkewe alifka so ndan ya hodi tukawa wauguzi wawil.

SAA 6 USIKU
Mgonjwa huyu ambaye n kjn alikuwa akienda chooni mfululizo yeye mwenyewe huku ameshika drip lkn mara ya nne hvi kwenda toilet alikwenda na mkewe mida yote jamaa alikuwa akilalama kifua na mapigo ya moyo yanakwenda kasi sn.

SAA 8 USIKU MZTO
Sijajua uchuro wa ndege anaitwa bundi na uhusiano wa matukio mabaya. Bundi alianza kusikika juu ya mti wa hospital. Muda huo mgonjwa kijn alianza kulalamika zaidi hvoo aliomba dokta aje cha ajabu alikuja nesi mdada mdogo nazan hazid miaka 30 alimpa kjn vidonge akasepa. Muda huo mgonjwa huyu ambaye alkuwa ndo mwenye nafuu kuliko wale wawil aliaza kulalamika zaidi hvo akaja dokta ni tozi flan akamwongezea drip cha ajabu drip likawa haliend

MKEWE AANZA MAOMBI
Sjawahi kugundua kwamba kufa ni simple vile walahiiiii!! Hvo baada ya drip kugoma nilishanga hospital ile kumbe usku wote madokta na manesi hulala fofofo kabsa na hakuna anayepita kuangalia wagonjwa. Nlimshauri mama yule aende akamwite nesi. Kitu cha ajabu hakuna nesi aliyekuja wala dokta so mgonjwa aloendelea kulalamika bila msaada wa wataalamu pale.

SAA 9 KAMILI USKU WA MANANE
Hali ikawa mbaya zaidi tupo tuna mchek na mkewe jamaa aliaza kulalamika haoni vinzuri (remember nearly death sight is the first sense to go) mkewe akapanda kitandani jamaaa analalamika sn

SAA 9 NA DAKIKA KAMA 20
Mgonjwa akaaza kukoroma lakini anaongea mkewe akamwomba simu anaombwa mgonjwa lkn jama alikataa mkewe akawapigia baadhi ya ndg ila kuhusu hali ya jamaa ku change suddenly hakuna ndg aliyekuja nkamwita mwamba vp ndoo nlivokuwa namwita jamaa hakujibu kitu muda huo macho yaliaza kugeuka kwa mara ya kwaza bila kufundishwa nikajua jamaa hatoboi. Nlimwambia mkewe kamwite dokta kwa bahat zuri tozi alikuja akamchek akamwambia njoo uchukue dawa jamaa alizidi kukoroma na mama yule alilipia dawa lkn aliambiwa ataleta nesi soo yeye akarudi wodini na kukuta hali mbaya sn

SAA 9:30 USIKU WA MANANE
Jamaa aliacha kukoroma nkashangaa mkewe anaanza kulia sana na muda huo povu likaaza kutoka na damu mm nmesmama sjui nifanyaje nilichofanya nkamwambia tena mkewe akamweite nesi akaenda mm nashuhudia ze last breath jamaa alivuta pumzi kama mara tatu hv ikawa kmyaa kabsa nikasema kwa ngeli rest in Peace mwamba.

NESI ANAFIKA (ni sisita duu hatari)
Nilichokuwa nategemea ni nesi kumfariji mwanamke mwezie cha ajabu alifka na kuaza kufoka ww anamfokea yule mama baada ya kuambiwa kwann wameonesha ushirikiano mdogo sn ajabu nyingne alishalipia hela za dawa ambayo hayat hakupewa na hawakumrudishia tuliambiwa tutoke nje wote hapo ndo wakaja karibu wahudumu wote wakajaa ndani mama yule alilia kwa uchungu lkn ilishatokea nlimfariji kiume hadi akanyamaza na nkamshauri awapigie ndg waje akasema n wagumu lkn cha ajabu akawaambia ndo wakaaza kuja pale kusubili utaratibu wa kuchukua mait.Hapo ilikuwa karibu kunakucha....

FUNZO NI NINI HAPA
Nilicho taka ku share nanyi leo mm nlichojifunza jamani kufa ni simple munoo alafu wanaohangaika nasi wanaume n wake tuu no rafiki no braza during the terrible moment wengne watakuja ukifa.

-end-
 
Habar!
Naomba ku share tukio la jana ktk mkoa fulan hapa bongo
SAA 9 ALASIRI
Nikiwa nmefura kwa hasira namna system ya OTEAS ilivokuwaa inanipa tabu mimi na wezangu kadhaa napigiwa simu na mama yangu mdogo niende hospital faza mdogo anaumwa sn kwan alikuwa haongei kabsa.
SAA 10 ALASIRI
Nafika hospital namcheki mgonjwa kwel n taaaban na alikuwa na mama angu mdogo tu ambaye ndo mkewe. Kwenye ward (hodi) kulikuwa na wagonjwa 3 tu wawil ilikuwaa very terrible mmoja ambaye n kjn wa makamoo ilikuwaa afadhari kidogo ilaa tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale.
SAA 2 USKU
Kwakuwa kulikuwa hakuna ndg yetu wa kiume aliyekuja kumwona mzee ilibid nilale na mgonjwa muda huo alikuwa hajitambui na niliruhusiwa kulala mulemule na manes.
SAA 4 USIKU.
mgonjwa ambaye n kjn mule ndani aliniomba nimfungie net mbu n wengi. Muda huo kulikuwaa na mdada mrembo alikuja kumwona huyo kijn so tulisaidiana kufunga net.kama baada ya sa moja yule mlimbwende alisepa wanaita soo nikaombwa ni take care hata kwa kjn yule bahat zuri mkewe alifka so ndan ya hodi tukawa wauguzi wawil.
SAA 6 USKU
Mgonjwa huyu ambaye n kjn alikuwa akienda chooni mfululizo yeye mwenyewe huku ameshika drip lkn mara ya nne hvi kwenda toilet alikwenda na mkewe mida yote jamaa alikuwa akilalama kifua na mapigo ya moyo yanakwenda kasi sn.
SAA 8 USKU MZTO
Sijajua uchuro wa ndege anaitwa bundi na uhusiano wa matukio mabaya. Bundi alianza kusikika juu ya mti wa hospital. Muda huo mgonjwa kijn alianza kulalamika zaidi hvoo aliomba dokta aje cha ajabu alikuja nesi mdada mdogo nazan hazid miaka 30 alimpa kjn vidonge akasepa. Muda huo mgonjwa huyu ambaye alkuwa ndo mwenye nafuu kuliko wale wawil aliaza kulalamika zaidi hvo akaja dokta ni tozi flan akamwongezea drip cha ajabu drip likawa haliend
MKEWE AANZA MAOMBI
Sjawahi kugundua kwamba kufa ni simple vile walahiiiii!! Hvo baada ya drip kugoma nilishanga hospital ile kumbe usku wote madokta na manesi hulala fofofo kabsa na hakuna anayepita kuangalia wagonjwa. Nlimshauri mama yule aende akamwite nesi. Kitu cha ajabu hakuna nesi aliyekuja wala dokta so mgonjwa aloendelea kulalamika bila msaada wa wataalamu pale.
SAA 9 KAMILI USKU WA MANANE
Hali ikawa mbaya zaidi tupo tuna mchek na mkewe jamaa aliaza kulalamika haoni vinzuri (remember nearly death sight is the first sense to go) mkewe akapanda kitandani jamaaa analalamika sn
SAA 9 NA DAKIKA KAMA 20
Mgonjwa akaaza kukoroma lakn anaongea mkewe akamwomba simu anaombwa mgonjwa lkn jama alikataa mkewe akawapigia baadhi ya ndg ila kuhusu hali ya jamaa ku change suddenly hakuna ndg aliyekuja nkamwita mwamba vp ndoo nlivokuwa namwita jamaa hakujibu kitu muda huo macho yaliaza kugeuka kwa mara ya kwaza bila kufundishwa nikajua jamaa hatoboi. Nlimwambia mkewe kamwite dokta kwa bahat zuri tozi alikuja akamchek akamwambia njoo uchukue dawa jamaa alizidi kukoroma na mama yule alilipia dawa lkn aliambiwa ataleta nesi soo yeye akarudi wodini na kukuta hali mbaya sn
SAA 9:30 USKU WA MANANE
Jamaa aliacha kukoroma nkashangaa mkewe anaanza kulia sana na muda huo povu likaaza kutoka na damu mm nmesmama sjui nifanyaje nilichofanya nkamwambia tena mkewe akamweite nesi akaenda mm nashuhudia ze last breath jamaa alivuta pumzi kama mara tatu hv ikawa kmyaa kabsa nikasema kwa ngeli rest in Peace mwamba.
NESI ANAFIKA (ni sisita duu atar)
Nilichokuwa nategemea n nesi kumfariji mwanamke mwezie cha ajabu alifka na kuaza kufoka ww anamfokea yule mama baada ya kuambiwa kwann wameonesha ushirikiano mdogo sn ajabu nyingne alishalipia hela za dawa ambayo hayat hakupewa na hawakumrudishia tuliambiwa tutoke nje wote hapo ndo wakaja karibu wahudumu wote wakajaa ndani mama yule alilia kwa uchungu lkn ilishatokea nlimfariji kiume hadi akanyamaza na nkamshauri awapigie ndg waje akasema n wagumu lkn cha ajabu akawaambia ndo wakaaza kuja pale kusubili utaratibu wa kuchukua mait.Hapo ilikuwa karibu kunakucha....

-
Kwa nini haupo direct and to the point? Umeweka masaa meengii nia ikiwa moja:Kishuhudia muda alofariki nduguyo.Anyway, poleni kwa kuondokewa na ankali yenu.
 
Nikipindi kigumu sana hicho kwa mke wake,,,,,Mungu ampe nguvu.....though am sure hiyo ni hospital ya serikali..

Ndo mahala pekee penye manesi wakipuuzi kiasi hicho.
Hata kama ndio,,Mungu ndo mpangaji wa kila kitu na Siku ya kumchukua kila kiumbe but at least onesha kama unajali na unajitahidi kuokoa maisha ya mgonjwa,,,,,mana we unalipwa tu mshahara lkn kuna watu wengi sana wanamtegemea na ni nguzo ya maisha yao......

Daaaahhh,,,,,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata
Habar!
Naomba ku share tukio la jana ktk mkoa fulan hapa bongo
SAA 9 ALASIRI
Nikiwa nmefura kwa hasira namna system ya OTEAS ilivokuwaa inanipa tabu mimi na wezangu kadhaa napigiwa simu na mama yangu mdogo niende hospital faza mdogo anaumwa sn kwan alikuwa haongei kabsa.
SAA 10 ALASIRI
Nafika hospital namcheki mgonjwa kwel n taaaban na alikuwa na mama angu mdogo tu ambaye ndo mkewe. Kwenye ward (hodi) kulikuwa na wagonjwa 3 tu wawil ilikuwaa very terrible mmoja ambaye n kjn wa makamoo ilikuwaa afadhari kidogo ilaa tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale.
SAA 2 USKU
Kwakuwa kulikuwa hakuna ndg yetu wa kiume aliyekuja kumwona mzee ilibid nilale na mgonjwa muda huo alikuwa hajitambui na niliruhusiwa kulala mulemule na manes.
SAA 4 USIKU.
mgonjwa ambaye n kjn mule ndani aliniomba nimfungie net mbu n wengi. Muda huo kulikuwaa na mdada mrembo alikuja kumwona huyo kijn so tulisaidiana kufunga net.kama baada ya sa moja yule mlimbwende alisepa wanaita soo nikaombwa ni take care hata kwa kjn yule bahat zuri mkewe alifka so ndan ya hodi tukawa wauguzi wawil.
SAA 6 USKU
Mgonjwa huyu ambaye n kjn alikuwa akienda chooni mfululizo yeye mwenyewe huku ameshika drip lkn mara ya nne hvi kwenda toilet alikwenda na mkewe mida yote jamaa alikuwa akilalama kifua na mapigo ya moyo yanakwenda kasi sn.
SAA 8 USKU MZTO
Sijajua uchuro wa ndege anaitwa bundi na uhusiano wa matukio mabaya. Bundi alianza kusikika juu ya mti wa hospital. Muda huo mgonjwa kijn alianza kulalamika zaidi hvoo aliomba dokta aje cha ajabu alikuja nesi mdada mdogo nazan hazid miaka 30 alimpa kjn vidonge akasepa. Muda huo mgonjwa huyu ambaye alkuwa ndo mwenye nafuu kuliko wale wawil aliaza kulalamika zaidi hvo akaja dokta ni tozi flan akamwongezea drip cha ajabu drip likawa haliend
MKEWE AANZA MAOMBI
Sjawahi kugundua kwamba kufa ni simple vile walahiiiii!! Hvo baada ya drip kugoma nilishanga hospital ile kumbe usku wote madokta na manesi hulala fofofo kabsa na hakuna anayepita kuangalia wagonjwa. Nlimshauri mama yule aende akamwite nesi. Kitu cha ajabu hakuna nesi aliyekuja wala dokta so mgonjwa aloendelea kulalamika bila msaada wa wataalamu pale.
SAA 9 KAMILI USKU WA MANANE
Hali ikawa mbaya zaidi tupo tuna mchek na mkewe jamaa aliaza kulalamika haoni vinzuri (remember nearly death sight is the first sense to go) mkewe akapanda kitandani jamaaa analalamika sn
SAA 9 NA DAKIKA KAMA 20
Mgonjwa akaaza kukoroma lakn anaongea mkewe akamwomba simu anaombwa mgonjwa lkn jama alikataa mkewe akawapigia baadhi ya ndg ila kuhusu hali ya jamaa ku change suddenly hakuna ndg aliyekuja nkamwita mwamba vp ndoo nlivokuwa namwita jamaa hakujibu kitu muda huo macho yaliaza kugeuka kwa mara ya kwaza bila kufundishwa nikajua jamaa hatoboi. Nlimwambia mkewe kamwite dokta kwa bahat zuri tozi alikuja akamchek akamwambia njoo uchukue dawa jamaa alizidi kukoroma na mama yule alilipia dawa lkn aliambiwa ataleta nesi soo yeye akarudi wodini na kukuta hali mbaya sn
SAA 9:30 USKU WA MANANE
Jamaa aliacha kukoroma nkashangaa mkewe anaanza kulia sana na muda huo povu likaaza kutoka na damu mm nmesmama sjui nifanyaje nilichofanya nkamwambia tena mkewe akamweite nesi akaenda mm nashuhudia ze last breath jamaa alivuta pumzi kama mara tatu hv ikawa kmyaa kabsa nikasema kwa ngeli rest in Peace mwamba.
NESI ANAFIKA (ni sisita duu atar)
Nilichokuwa nategemea n nesi kumfariji mwanamke mwezie cha ajabu alifka na kuaza kufoka ww anamfokea yule mama baada ya kuambiwa kwann wameonesha ushirikiano mdogo sn ajabu nyingne alishalipia hela za dawa ambayo hayat hakupewa na hawakumrudishia tuliambiwa tutoke nje wote hapo ndo wakaja karibu wahudumu wote wakajaa ndani mama yule alilia kwa uchungu lkn ilishatokea nlimfariji kiume hadi akanyamaza na nkamshauri awapigie ndg waje akasema n wagumu lkn cha ajabu akawaambia ndo wakaaza kuja pale kusubili utaratibu wa kuchukua mait.Hapo ilikuwa karibu kunakucha....
FUNZO NI NINI HAPA
Nilicho taka ku share nanyi leo mm nlichojifunza jamani kufa ni simple munoo alafu wanaohangaika nasi wanaume n wake tuu no rafiki no braza during the terrible moment wengne watakuja ukifa.
-end-
-
Hata wewe hukuweza kufanya kazi yako kama kijana wa kiume ,ww ndy ulitakiwa kwenda kumwita Dr ulipoona hali inakuwa mbaya
 
Back
Top Bottom