Napendekeza CAG akague accounts za makanisa

Mndwyika.wetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
652
Reaction score
829
Ndugu wanajanvi wenzanu, napendekeza Bunge la JMT litunge sheria ya kumwamrisha CAG kukagua matumizi ya pesa za makanisa na taasisi za dini zote.

Sababu
- hizi ni public funds, kwa sababu ni sadaka na michango ya waumini, fungu la kumi ni kodi. (Hawa wenye makanisa watasema ni toleo kwa mungu, WONGO MTUPUUUU)
- wanaishi maisha ya anasa sana wao na familia zao wakati waumini wao au (kondoo) wanabaki kua maskini wa kutupwa.
- kondoo akihoji tu, juu ya matumizi ya sadaka anafukuzwa kanisani.
Kama ivyokua kwenye mswaada wa vyama vya SIASA, tunahitaji haraka sana mswaada wa DINI.
TUSIJIDANGANYE kua serikali ikae mbali na haya makanisa watu wanaumizwa sana sana sana.
Dar-es-Salaam hii tuna makanisa mengi kuliko shule, hospitals, na huduma za maji kwa pamoja.
 
Vipi kuhusu shirika la ndege la ATCL?

Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
 
Ndugu wanajanvi wenzanu, napendekeza Bunge la JMT litunge sheria ya kumwamrisha CAG kukagua matumizi ya pesa za makanisa na taasisi za dini zote.

Sababu
- hizi ni public funds, kwa sababu ni sadaka na michango ya waumini, fungu la kumi ni kodi. (Hawa wenye makanisa watasema ni toleo kwa mungu, WONGO MTUPUUUU)
- wanaishi maisha ya anasa sana wao na familia zao wakati waumini wao au (kondoo) wanabaki kua maskini wa kutupwa.
- kondoo akihoji tu, juu ya matumizi ya sadaka anafukuzwa kanisani.
Kama ivyokua kwenye mswaada wa vyama vya SIASA, tunahitaji haraka sana mswaada wa DINI.
TUSIJIDANGANYE kua serikali ikae mbali na haya makanisa watu wanaumizwa sana sana sana.
Dar-es-Salaam hii tuna makanisa mengi kuliko shule, hospitals, na huduma za maji kwa pamoja.
Unaacha kusema ule mfuko wa prezdar, unazungumza pumba hapA! Kwani wanalazimishwa kulipa hizo sadaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CAG..hana interest na private owned institutions.
Kasome kwa nini CAG akawekwa na ni kwa matakwa ya nan..Anaripoti kwa nan na kwa nini ikawa hivyo

Nakukumbusha kidogo
CAG anahisika kukagua mapato na matumizi ya serikali kama inavyostaili.
Anaripoti kwa Raisi ambaye amemteua na anaesemekana kuwa ndio msimamizi mkuu wa mapato hayo.
Ukija kwa haya makanisa sioni haja ya ukaguzi kwa sababu zile sio fedha za umma.Pili matumizi yake na mapato yake hayapangwi na serikali.Unaenda kukagua nini labda kodi.

Achana na yote huwezi kusema leo unaenda kukagua makanisa yote sababu utaingia gharama zisizo na msingi wowote.Hiyo ela utakayotumia hairudi.
Ebu tupe mfano wa nchi ambayo wanakagua makanisa.

You may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Hakuna anae lazimishwa kutoa kama huna baki umekaa wala hutoulizwa.kutoa ni moyo
 
Ndugu wanajanvi wenzanu, napendekeza Bunge la JMT litunge sheria ya kumwamrisha CAG kukagua matumizi ya pesa za makanisa na taasisi za dini zote.

Sababu
- hizi ni public funds, kwa sababu ni sadaka na michango ya waumini, fungu la kumi ni kodi. (Hawa wenye makanisa watasema ni toleo kwa mungu, WONGO MTUPUUUU)
- wanaishi maisha ya anasa sana wao na familia zao wakati waumini wao au (kondoo) wanabaki kua maskini wa kutupwa.
- kondoo akihoji tu, juu ya matumizi ya sadaka anafukuzwa kanisani.
Kama ivyokua kwenye mswaada wa vyama vya SIASA, tunahitaji haraka sana mswaada wa DINI.
TUSIJIDANGANYE kua serikali ikae mbali na haya makanisa watu wanaumizwa sana sana sana.
Dar-es-Salaam hii tuna makanisa mengi kuliko shule, hospitals, na huduma za maji kwa pamoja.
rubbish, mtoto wako angejua ni wewe umeandika huu upumbavu, angekukana
 
Great Thinker!
Watu kama wewe ni mzigo kwa taifa. Hata hujui kazi ya CAG.
 
Angeanzia jeshini na kule nyumba nyeupe kwenye kodi zetu kisha ndo aje huku kwenye michango na sadaka zetu ili kuleta balance.
 
Great Thinker!
Watu kama wewe ni mzigo kwa taifa. Hata hujui kazi ya CAG.

Kazi ya CAG ni kukagua All Public Funds, nini maana ya Public, kusanyiko la KONDOO sio public? Watu zaidi ya elfu 5,000 wamatoa fungu la kumi kwako, kwa nini isikaguliwe??? Kujirithisha na matumizi? Wewe kama ni kondoo hebu nenda kesho kwa nabii au mtume wako ukaulizie matumizi ya fungu lako la kumi? Uone kitakacho kupata.
 
Nimekudharau.
 
pambaf CAG anahusika vipi na makanisa wewe

Huwezi ukakusanya fedha za watu kila mwezi na usikagulile unazitumiaje?
Je kueneza neno la mungu?
Huduma kwa wajane na watoto ya tima?

Hufanyi hayo yote, balo unaishi maisha ya kifahari sana wakati kondoo wako wanaishi maisha ya shida sana sana
 
Ndugu wanajanvi wenzanu, napendekeza Bunge la JMT litunge sheria ya kumwamrisha CAG kukagua matumizi ya pesa za makanisa na taasisi za dini zote.

Sababu
- hizi ni public funds, kwa sababu ni sadaka na michango ya waumini, fungu la kumi ni kodi. (Hawa wenye makanisa watasema ni toleo kwa mungu, WONGO MTUPUUUU)
- wanaishi maisha ya anasa sana wao na familia zao wakati waumini wao au (kondoo) wanabaki kua maskini wa kutupwa.
- kondoo akihoji tu, juu ya matumizi ya sadaka anafukuzwa kanisani.
Kama ivyokua kwenye mswaada wa vyama vya SIASA, tunahitaji haraka sana mswaada wa DINI.
TUSIJIDANGANYE kua serikali ikae mbali na haya makanisa watu wanaumizwa sana sana sana.
Dar-es-Salaam hii tuna makanisa mengi kuliko shule, hospitals, na huduma za maji kwa pamoja.

CAG yuko bize anafuatilia the real deal 1.5Tril TZS

CAG anakagua zile ambazo wakati zinakusanywa tuliambiwa matumizi..
Waulize wanaotoa sadaka waliambiwa matumizi kabla? Kama ni ujenzi wa kanisa basi wafuatilie polisi ila kama zile za fungu la kumi basi sahau. ukiona mchungaji kanunua gari unakuwa na hakika imetumika maana la sivyo kahonga
 
Huwezi ukakusanya fedha za watu kila mwezi na usikagulile unazitumiaje?
Je kueneza neno la mungu?
Huduma kwa wajane na watoto ya tima?

Hufanyi hayo yote, balo unaishi maisha ya kifahari sana wakate kondoo wako wanaishi maisha ya shida sana sana

Pengine tukueleweshe hujui kazi za CAG.Huyu bwana kazi yake ni ukaguzi wa hesabu za serikali.Kitu unachoongea ni sawa na kumuomba magufuli amfukuze kazi mbowe chadema
 
CAG..hana interest na private owned institutions.
Kasome kwa nini CAG akawekwa na ni kwa matakwa ya nan..Anaripoti kwa nan na kwa nini ikawa hivyo

Nakukumbusha kidogo
CAG anahisika kukagua mapato na matumizi ya serikali kama inavyostaili.
Anaripoti kwa Raisi ambaye amemteua na anaesemekana kuwa ndio msimamizi mkuu wa mapato hayo.
Ukija kwa haya makanisa sioni haja ya ukaguzi kwa sababu zile sio fedha za umma.Pili matumizi yake na mapato yake hayapangwi na serikali.Unaenda kukagua nini labda kodi.

Achana na yote huwezi kusema leo unaenda kukagua makanisa yote sababu utaingia gharama zisizo na msingi wowote.Hiyo ela utakayotumia hairudi.
Ebu tupe mfano wa nchi ambayo wanakagua makanisa.

You may not start conversation with the following recipient;Tairus
Ni kuweka utaratibu tu nao walipe kodi serikalini.

Tena watakuwa ma agent wazuri sana kwa maana kuna wale wakaidi kulipa kodi lakini kule wanazitoa kilaini sana bila shurti.
 
Back
Top Bottom