Ni sahihi wafiwa kwenda saluni kwa ajili ya maandalizi ya mazishi?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Jamani tusaidiane ni kweli nimeshuhudia siku ya msiba wafiwa wale muhimu unajianda kwa ajili ya mazishi?
1.mwanaume wanaenda kupunguza nywele.
2.wamama saloon kuweka mawigi.
3.suti zinanunuliwa
Yako mengi hapa naomba ufafanuzi km kweli msiba umekufika tena baba/mama mtoto mda wa kujipodoa mnautoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msiba ni wao, sisi ambao hautuhusu tutawawekeaje masharti!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujaluoni tunaangusha bonge la pati na muziki mpaka asubuhi sasa sijui unazungumziaje hilo. Acha watu waishi maisha walioyachagua ili mradi haikudhuru.
 
Jamani tusaidiane ni kweli nimeshuhudia siku ya msiba wafiwa wale muhimu unajianda kwa ajili ya mazishi?
1.mwanaume wanaenda kupunguza nywele.
2.wamama saloon kuweka mawigi.
3.suti zinanunuliwa
Yako mengi hapa naomba ufafanuzi km kweli msiba umekufika tena baba/mama mtoto mda wa kujipodoa mnautoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa unaenda kwenye mazishi ya mzazi wako kichwani nywele rafu ama una kiduku, uko hovyo na umevaa nguo za ajabu ajabu!!! ni bora uende saluni unyoe na uvalie suti, hapo ndio unaonesha heshima kwa marehemu, kuzika ni kazi ya kuonesha heshima kwa marehemu , sasa unaoneshaje heshima kwa marehemu uko rafu rafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hela zipo acha wafanyee...usipangie watu maisha utaumia
Kwa wengine msiba ni sherehe, wanamsherekea maisha ya marehemu
 
Back
Top Bottom