Sikubaliani na shamra shamra za mapokezi ya Lowasa.

getrusa

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
2,150
1,812
Nimefuatilia tangu ndugu huyu aamue kurudi Ccm na pirika pirika zinazoeendelea juu yake, kuna wimbi la watu ambao ni kama walikuwa wamesinzia ama kulala ndani ya Ccm, ambao kwa sasa ni kama wameamka na kurudishiwa matumaini fulani mapya.!
Hiki kinachoendelea Monduli na sehemu nyinginezo sio Afya sana kwa Ccm na wengineo tuliokuwa tunapenda Ccm mpya.
Kurejea kwa Lowasa kunatengeneza mazingira ya kumuona mtu fulani ni Maarufu kuliko Chama chenyewe.
Na bila shaka hili no vuguvugu linaloandaliwa kwa ajili ya uchaguzi wa 2020.kama Ccm wasipokuwa makini kuna mpasuko mkubwa sana unakinyemelea chama cha mapinduzi, ujio wa Lowasa Ccm sio baraka ni Laana mpya bayo itaisambaratisha kabisa Ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie pia nimeliona hilo. Mfano 2020 anaamua kuchukua form ili kupambana na JPM alaf kwenye vyeti feki wooote, wakwepa kodi wote, wauza unga woooote, wawindaji haramu woooote, mafisadi woote, bureau de change woooote, wezi wa madini wooote, walima korosho woooote, wapiga dili wooote, wavuvi haramu wooote, wapenda safari za nje wooote wakamuunga mkono nini kitatokea?,Vyombo vya chama na serikali havikufanya tathmini ya kina au vimepanga hujuma?

Atakayechukua fomu ya kugombea urais mwakani atakua ni mmoja tu; Mwenyekiti wa chama ambaye ni rais wa sasa mh. Dr.JPM. Ccm haina utaratibu wa mwanachama kushindana na rais aliyeko madarakani hivyo kwa namna yoyote ile mh EL hatapata hiyo nafasi.

Tutarijie mtifuano mwingine 2025 iwapo wapambe wa kutaka rais aongezewe muda wa kuwepo madarakani, watashindwa na hii nia/kampeni yao ovu waliyoianzisha. Na kwa wakati huo EL umri utakua umemtupa. Hivyo nadhani amerudi nyumbani kupumzika tu.
 
wanajua fika hawezi kuchukua fomu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama mdhaha lakini hili sio suala la mdhaha kuna Watu Ccm hawakubaliani na haya ayafanyayo Jpm na hawa walikuwa hawana budi kukubaliana nae but kwa hili
Ninakumbuka ile hadithi ya jini kwenye chupa. Limeshatoka wa kulirudisha humo nani?
Narudia tena hizi shamra shamra sio salama sana wa Ccm, yale matope yaliyopakwa toka 2005 na harufu yake yoote inarudi kwa kasi ya 4G.
Kwa sisi wengine yetu macho juhudi zote za Jpm zitabaki historia..

Mimi ninalitazama kwa jicho jingine, sidhani kama ENL hana nia ya Urais, hata kama hatakuwa yeye watu walio nyuma yake sio watu wa kukata tamaa kiurahisi.
Nilishuhudia tangu kikwete alipopata nafasi ya kuwa Rais jinsi wapambe wake walivyoanza kampeni mapema za kumpeleka ikulu. Mpaka pale ilipokuwa kinyume chake 2015.
Lowasa kurudi Ccm ni Virus mpya kuua na kukidhoofisha chama..
Atakayechukua fomu ya kugombea urais mwakani atakua ni mmoja tu; Mwenyekiti wa chama ambaye ni rais wa sasa mh. Dr.JPM. Ccm haina utaratibu wa mwanachama kushindana na rais aliyeko madarakani hivyo kwa namna yoyote ile mh EL hatapata hiyo nafasi.

Tutarijie mtifuano mwingine 2025 iwapo wapambe wa kutaka rais aongezewe muda wa kuwepo madarakani, watashindwa na hii nia/kampeni yao ovu waliyoianzisha. Na kwa wakati huo EL umri utakua umemtupa. Hivyo nadhani amerudi nyumbani kupumzika tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama mdhaha lakini hili sio suala la mdhaha kuna Watu Ccm hawakubaliani na haya ayafanyayo Jpm na hawa walikuwa hawana budi kukubaliana nae but kwa hili
Ninakumbuka ile hadithi ya jini kwenye chupa. Limeshatoka wa kulirudisha humo nani?
Narudia tena hizi shamra shamra sio salama sana wa Ccm, yale matope yaliyopakwa toka 2005 na harufu yake yoote inarudi kwa kasi ya 4G.
Kwa sisi wengine yetu macho juhudi zote za Jpm zitabaki historia..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuitishe vikao vya dharura kulitathmini na kujipanga maana hatutaki chochochoko hadi Standard gauge railway, Stiglers gorge, ubungo interchange na njia nane zikamilike by 2023. Sioni mtanzania ndani na nje ya ccm mwenye uthubutu wa JPM, hivyo atakapoiachia miradi hiyo ndo basi tena
 
Nimefuatilia tangu ndugu huyu aamue kurudi Ccm na pirika pirika zinazoeendelea juu yake, kuna wimbi la watu ambao ni kama walikuwa wamesinzia ama kulala ndani ya Ccm, ambao kwa sasa ni kama wameamka na kurudishiwa matumaini fulani mapya.!
Hiki kinachoendelea Monduli na sehemu nyinginezo sio Afya sana kwa Ccm na wengineo tuliokuwa tunapenda Ccm mpya.
Kurejea kwa Lowasa kunatengeneza mazingira ya kumuona mtu fulani ni Maarufu kuliko Chama chenyewe.
Na bila shaka hili no vuguvugu linaloandaliwa kwa ajili ya uchaguzi wa 2020.kama Ccm wasipokuwa makini kuna mpasuko mkubwa sana unakinyemelea chama cha mapinduzi, ujio wa Lowasa Ccm sio baraka ni Laana mpya bayo itaisambaratisha kabisa Ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtasema sana muonavyo lakini wenye nchi wameamua "ukweli ni kwamba maumivu hayabadilishi uhalisia" Tanzania ya mitandaoni itoke kwenye maumivu na iende ikapambane na uhalisia.

Usiku mwema narudi nyumbani kumenoga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakayechukua fomu ya kugombea urais mwakani atakua ni mmoja tu; Mwenyekiti wa chama ambaye ni rais wa sasa mh. Dr.JPM. Ccm haina utaratibu wa mwanachama kushindana na rais aliyeko madarakani hivyo kwa namna yoyote ile mh EL hatapata hiyo nafasi.

Tutarijie mtifuano mwingine 2025 iwapo wapambe wa kutaka rais aongezewe muda wa kuwepo madarakani, watashindwa na hii nia/kampeni yao ovu waliyoianzisha. Na kwa wakati huo EL umri utakua umemtupa. Hivyo nadhani amerudi nyumbani kupumzika tu.
Umenena vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom