Nitavunjaje mikataba ya kuzimu ya mababu zangu?

daniel enocy

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
380
Reaction score
413
Kuna hii issue ya mikataba ya mababu zetu walioingia na shetani. Kwa mfano unakuta uliingia ili mfanikiwe ni lazima mtoe kafara na kumwagia damu kwenye rupia sasa mimi nisipofanya hivyo madhara yake ni yapi?

Mimi nataka kumtegemea Mungu lakini unakuta mtumishi wa Mungu anasema nimefungwa na mikataba ya kuzimu. Je, nifanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulisaini lini hiyo mikataba tuanzie hapo!!!
 
Kuna hii issue ya mikataba ya mababu zetu walioingia na shetani. Kwa mfano unakuta uliingia ili mfanikiwe ni lazima mtoe kafara na kumwagia damu kwenye rupia sasa mimi nisipofanya hivyo madhara yake ni yapi?

Mimi nataka kumtegemea Mungu lakini unakuta mtumishi wa Mungu anasema nimefungwa na mikataba ya kuzimu. Je, nifanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mtumishi anakuzingua tu, you are the master of your own destiny. Your effort will determine how far you go, sio sijui mikataba ya mababu na bla bla. Mikataba ya mabibi je? Jiamini, Hiyo pesa ya sadaka Fanya Maendeleo, jipe sadaka mwenyewe
 
Kapande mbangi kwenye kaburi la babu zako
 
Kuna hii issue ya mikataba ya mababu zetu walioingia na shetani. Kwa mfano unakuta uliingia ili mfanikiwe ni lazima mtoe kafara na kumwagia damu kwenye rupia sasa mimi nisipofanya hivyo madhara yake ni yapi?

Mimi nataka kumtegemea Mungu lakini unakuta mtumishi wa Mungu anasema nimefungwa na mikataba ya kuzimu. Je, nifanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ngoja Mshana Jr aje atakupa solution. Huyu Mshana Jr naona ana uzoefu na hizi mambo coz threads zake huwa sio za kitoto
 
kwahiyo unataka kuingia mkataba na mizimu ya kizungu sio?? uko tayari kukumbatia vya kufikirika vilivyoletwa na mzungu wakati huohuo ukivikandia vyakwako, mzungu aliupanda utumwa kichwani mwa mwafrika!
 
Daniel.. Upo wapi? Ni peke yako ndo umeamua au mpo na wenzako? Hii ibada ya kuvunja madhabahu za mababu Ipo na mkiamua kufanya mnafanya
 
Haivunjiki hiyo we komaa tuu na. Ukikengeuka tuu wanadai chao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom