Jifunze jinsi ya Kukaa na house girl mda mrefu

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
2,658
Points
2,000

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
2,658 2,000
1.mlipe pesa zaidi ya anachokitaka wengi wao wanataka 30000-40000 sasa wewe mpe 50000-100000 itategemea na uwezo wako.
2.chagua binti ambaye akili yake haijatimia 100%,hapa tuelewana ,chagua binti ambaye anazo akili anajitambua ila kwa mbali hamnazo,.
3.mnunulie simu pia hakikisha sinema zetu azam TV inapatikana mda wote.
4.jitahidi uwe na jirani mwema ambaye anakuwa karibu nae kukitokea shida kidogo atakujulisha.
5.wale wenye watoto jitahidi sana mambo mengi jirani yako awe anashiriki kufuatilia,hapa Mkono wako uwe wa kutoa ili jirani apate nguvu.
Kwa wale wanawake wenye visa hawawezi kamwe wanawatuma mabinti hadi kutupa pedi.

Nitaendelea...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Messages
11,647
Points
2,000

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2016
11,647 2,000
1.mlipe pesa zaidi ya anachokitaka wengi wao wanataka 30000-40000 sasa wewe mpe 50000-100000 itategemea na uwezo wako.
2.chagua binti ambaye akili yake haijatimia 100%,hapa tuelewana ,chagua binti ambaye anazo akili anajitambua ila kwa mbali hamnazo,.
3.mnunulie simu pia hakikisha sinema zetu azam TV inapatikana mda wote.
4.jitahidi uwe na jirani mwema ambaye anakuwa karibu nae kukitokea shida kidogo atakujulisha.
5.wale wenye watoto jitahidi sana mambo mengi jirani yako awe anashiriki kufuatilia,hapa Mkono wako uwe wa kutoa ili jirani apate nguvu.

Nitaendelea...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeki tatu wa siku hizi wanachohitaji ni Zaidi ya fedha ukiwa nae jitahidi sana kumleta mdogo wako wa kiume akae hapo kwako ambae wataendana hapo ata usipomlipa mshahara hawezi kutoka

CC Zero IQ
 
charldzosias

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2013
Messages
1,472
Points
2,000

charldzosias

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2013
1,472 2,000
1.mlipe pesa zaidi ya anachokitaka wengi wao wanataka 30000-40000 sasa wewe mpe 50000-100000 itategemea na uwezo wako.
2.chagua binti ambaye akili yake haijatimia 100%,hapa tuelewana ,chagua binti ambaye anazo akili anajitambua ila kwa mbali hamnazo,.
3.mnunulie simu pia hakikisha sinema zetu azam TV inapatikana mda wote.
4.jitahidi uwe na jirani mwema ambaye anakuwa karibu nae kukitokea shida kidogo atakujulisha.
5.wale wenye watoto jitahidi sana mambo mengi jirani yako awe anashiriki kufuatilia,hapa Mkono wako uwe wa kutoa ili jirani apate nguvu.
Kwa wale wanawake wenye visa hawawezi kamwe wanawatuma mabinti hadi kutupa pedi.

Nitaendelea...

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan uchukue Mtu ambae dishi limeyumba akae na MTOTO? HAYA waponze wenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shatisuruali

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2016
Messages
572
Points
1,000

shatisuruali

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2016
572 1,000
Kuna house girl mmoja nakumbuka aliambiwa na mama mwenye Nyumba akachemshe maji kwenye jagi la umeme, kwa nini asilibandike kwenye jiko la umeme??:D afu lilikuwa lile la plastic la mchina. Likayeyukia kwenye plate.
 
IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
2,658
Points
2,000

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
2,658 2,000
Kuna house girl mmoja nakumbuka aliambiwa na mama mwenye Nyumba akachemshe maji kwenye jagi la umeme, kwa nini asilibandike kwenye jiko la umeme??:D afu lilikuwa lile la plastic la mchina. Likayeyukia kwenye plate.
Sio kweli ,lakini hata ilo likitokea ni kawaida cz hata we ni mshamba kwenye mambo mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jebs2002

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Messages
6,697
Points
2,000

jebs2002

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2008
6,697 2,000
Wengine tutafikiri, unawafunda kina mama na kina baba nini cha kufanya kuacha kuajiri ma-house girls?! Ndiyo mkuu, maisha magumu, kwa sasa hakuna cha houseboy wala housegirl, baba usafi nje, magari na kazi zote ngumu home, hata kupika, kufua, usafi ndani n.k.
Mama pia, hasa kufua, malezi kwa watoto na n.k. Kifupi baba na mama wachukuwe hatamu kwenye maboma yao, yawezekana, inawezekana..Tubane matumizi...
 
SDG

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2017
Messages
7,661
Points
2,000

SDG

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2017
7,661 2,000
Unazungumzia maisha ya USWAZI.
HIVI huko ushuani huyo Jirani utampata wapi?
1.mlipe pesa zaidi ya anachokitaka wengi wao wanataka 30000-40000 sasa wewe mpe 50000-100000 itategemea na uwezo wako.
2.chagua binti ambaye akili yake haijatimia 100%,hapa tuelewana ,chagua binti ambaye anazo akili anajitambua ila kwa mbali hamnazo,.
3.mnunulie simu pia hakikisha sinema zetu azam TV inapatikana mda wote.
4.jitahidi uwe na jirani mwema ambaye anakuwa karibu nae kukitokea shida kidogo atakujulisha.
5.wale wenye watoto jitahidi sana mambo mengi jirani yako awe anashiriki kufuatilia,hapa Mkono wako uwe wa kutoa ili jirani apate nguvu.
Kwa wale wanawake wenye visa hawawezi kamwe wanawatuma mabinti hadi kutupa pedi.

Nitaendelea...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nsamaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Messages
5,402
Points
2,000

Nsamaka

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2016
5,402 2,000
Hiyo namba 5!
Hv unawajua majirani ww? Tena ni bora awe anashinda peke yake na watoto kuliko kufanya mazoea na jirani ili eti incase of anything asaidie.
Hakuna watu wabaya na waharibifu wa wasichana wa kazi km majirani, wanakuwaga na vimaneno vya ajabu ajabu hd msichana anakubadilikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
2,658
Points
2,000

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
2,658 2,000
Hiyo namba 5!
Hv unawajua majirani ww? Tena ni bora awe anashinda peke yake na watoto kuliko kufanya mazoea na jirani ili eti incase of anything asaidie.
Hakuna watu wabaya na waharibifu wa wasichana wa kazi km majirani, wanakuwaga na vimaneno vya ajabu ajabu hd msichana anakubadilikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
We ni me/ke?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TheChoji

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Messages
1,481
Points
2,000

TheChoji

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2009
1,481 2,000
1.mlipe pesa zaidi ya anachokitaka wengi wao wanataka 30000-40000 sasa wewe mpe 50000-100000 itategemea na uwezo wako.
2.chagua binti ambaye akili yake haijatimia 100%,hapa tuelewana ,chagua binti ambaye anazo akili anajitambua ila kwa mbali hamnazo,.
3.mnunulie simu pia hakikisha sinema zetu azam TV inapatikana mda wote.
4.jitahidi uwe na jirani mwema ambaye anakuwa karibu nae kukitokea shida kidogo atakujulisha.
5.wale wenye watoto jitahidi sana mambo mengi jirani yako awe anashiriki kufuatilia,hapa Mkono wako uwe wa kutoa ili jirani apate nguvu.
Kwa wale wanawake wenye visa hawawezi kamwe wanawatuma mabinti hadi kutupa pedi.

Nitaendelea...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala usiendelee kwasababu huna unalojua na sijui unazungumzia maisha ya wapi...?
Unasahau huyu msichana unamuachia nyumba pamoja na mali zako zote including watoto wako awatunze wakati wewe ukiwa haupo. Hata chakula unachokula wewe na watoto ni yeye anapika..!! Sasa kama akili zake haziko sawa utamuamini vipi? Huyo jirani wa kumuangalia unamtoa wapi ambae yeye hana shughuli zake kazi ni kuja kukulindia nyumba yako?
Kwa kifupi we inaonekana hujawahi kuwa na msichana wa kazi maana hayo yote uliyoshauri mtu akiyafanya msichana ataondoka haraka sana au atakua hafanyi kazi yoyote anashinda kwenye tv..
 
Forum statistics

Threads 1,392,178
Members 528,565
Posts 34,100,730
Top