Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sasa hivi ni mwendo wa mwaga mboga sisi tumwage ugali. Wakenya wameanza kuzuia bidhaa toka Tanzania na kuanza kuzipima upya ili kuzikagua ubora ilihali kulikua na makubaliano ya kwamba bidhaa...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Augustino Chiwinga 0756810804 Kwa kawaida kila kitu kinapokua kinataka kufikia tamati yake huwa kinonesha dalili fulani mathalani, mtu anapotaka kuuga roho huwa kuna dalili zake, gari...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tafadhili mwenye hio number au mawasiliano au njia yeyote ya kuweza kufika kwa TB joshua (SCOAN) anisaidie
0 Reactions
57 Replies
12K Views
habari! leo nimesikia kwenye matangazo ya barabarani kutakuwa na mafunzo ya bure ya udereva na mwisho unapata cheti bure. kama kuna yeyote amesikia naomba anisaidie kujua mahali ambapo mafunzo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakubwa na wadogo marhaba! . Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza wadau Rwanda wana mkakati gani wa kukabiliana na ongezeko la watu nchini mwao nataka kufahamu hili kwa kuzingatia...
1 Reactions
63 Replies
6K Views
Wengi wanausifia sana usafiri wa ndege ,ila utabaki kuwa usafiri wenye risk kubwa ,na likidondoka kutoka uko juu chance ya kupona ni 0.00000001. Siku nimechukia safari ya ndege ni mwaka jana...
18 Reactions
105 Replies
12K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema ipo katika mchakato wa kuweka elimu ya kodi katika mitaala (syllabus) ya elimu nchini ili wanafunzi waanze kufundishwa maana ya kodi tangu wakiwa wadogo...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Watu waishio mbezi na kawe kwenye kingo ya mto wameshapatiwa elimu vya kutosha na NEMC namna ya kutunza mazingira lakini bado wanatabia zao ngumu sana! Wakazi hawa kutokana na shughuli zao za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Amani kwenu Great Thinkers. Nimeshangazwa katika pitapita zangu huko mikoa ya Kaskazini kuona aina mpya ya kukagua mizigo hatarishi (pengine dawa za kulevya) ambapo askari polisi katika eneo la...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Licha ya umuhimu wake, usafiri huu umekuwa na changamoto lukuki ambazo unakabiliwa nazo. Natambua zipo ahadi mbalimbali za wahusika kuonyesha nia ya kutatua changamoto zinazojitikeza lakini...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Msanii huyu anaejinasibu kama msanii msomi kuliko wote na mwenye ndoto za kuwa Rais amewafananisha wanawake wasiojitambua sawa sawa na wanawake wenye ulemavu Wa akili. Yapasa aombe radhi Kwa kweli...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
BREAKING NEWS NYUMBA YA MALISSA GJ IMEVAMIWA MUDA HUU NA WATU WASIOJULIKANA. Wako hapo mpk muda huu wakilazimisha milango ifunguliwe hili waingie ndani Msaada tafadhali _______ Update Habari...
5 Reactions
187 Replies
9K Views
Wakuu, nimeikokotoa FB "UMEISIKIA HII?? Chupa ya bia ya kwanza, huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza koo... Na mara nyingi huwa mkimya...
3 Reactions
106 Replies
16K Views
Wanajamvi Salaam Naamini bila kuwa na chembe yoyote ya shaka,huyu mchungaji anahitilafu kwenye ubongo. Ukifuatilia jinsi anavyoropoka utagundua kabisa huyu dishi limeyumba. Lkn pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kushindwa kuwataja walioficha Hela Uswisi ni Ujinga,asema Kibonde. Akizungumza katika kipindi cha Jahazi leo tarehe 22.11.2012, bila kutaja jina, Kibonde amedai kuwa yeye anashangaa hata waandishi...
1 Reactions
66 Replies
8K Views
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemtaka Mbunge wa Kigoma Mjini kuwa mkweli katika kutoa takwimu za vifo vya kina mama vitokanavyo na uzazi tofauti na takwimu anazozitoa. Waziri Ummy amelazimika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi Viwanda bila Wataalamu vitakuwaje au ndo tunatengeneza cheap labour? Nini maana ya kuwa na uongozi katika ngazi za chini kama wanashindwa kudeal na vitu kama hivi? Mambo ya nchi hii...
6 Reactions
74 Replies
8K Views
Za weekend wanajamvi. Naomba tupeane info za majanga ya ajali zinazosababishwa na uzembe wa watumiaji wa barabara kuacha umakini wa kuendesha vyombo vyao vya moto na kuanza kusorolea wanawake...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimetafakari kwa kina baada ya kuurudia huu wimbo kichwani kwangu mara kadhaa Ccm ni ile ile, hata atokee kiongozi mwenye maono mazuri kiasi gani bado Ccm ni ileile baada ya muda itarudi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom