Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama Kichwa kinavyoelewa Huyu Jamaa Animba nyimbo za injili zamani alikuwa ni rasta sasa nimesikia kwamba amefariki naombeni habari wenye uhakika Anaitwa Prince Amosi
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wengi tunaamka na kuwahi kwenye shughuli zetu kila siku. Ni kawaida/kumbe kuna mengi yanatupita, Leo nlishuhudia mzee akimkataza kijana kupanda townbus ya rangi blue iliyosimama kituoni bila...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kitendo cha lowasa kuwaambia watz waliopigia kura upinzani milioni 6 ni cha dharau kubwa sana. Uzee ni hekima lkn pia ukizeeka vibaya unakuwa mwepesi wa kusahau... Mzee Kingunge mwasisi halisisi...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimemsikia bwana Gardner Habash mtangazaji mwenza wa marehemu Ephrahim Kibonde akisema kuwa usiku kule Mwanza kuna dawa pale hospital walikosa na akampigia simu Dr. Isaack maro akawaelekeza...
6 Reactions
59 Replies
9K Views
Hello JF, Mie naona miaka minne ya ofisi Mkuu wetu sera yake ya kui transform Tanzania kwenda uchumi wa viwanda ni kama ime fail.. Wanampikia data sijui kuna viwanda 3000 vipya vimeibuka...
15 Reactions
34 Replies
3K Views
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), limesema litachukua hatua ikiwamo kuwaondoa katika majengo yake wadaiwa sugu walioshindwa kulipa kodi ya pango la Sh. milioni 44.3 Mpaka sasa, shirika hilo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kazi yeyeto ya sanaa ya Picha ubeba ujumbe Fulani au imani Fulani,sanaa uzungumza sanaa uongea.Hii Picha IPO mitandaoni sijaelewa tafsiri yake ni ipi. Hapo pana Picha ya ng'ombe na risasi ambao...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Nenda salama braza, nilikuwa na badonakubali sana swaga zako. Lakini najiuliza, ni kwanini familia yako imeamua kukuzika Dar es salaam na sio Mbeya kwenu ? Jamani inapendeza sana siku tukifa...
3 Reactions
61 Replies
9K Views
Kati Kijiji cha mwamalele kilichopo katikati kata ya Loya wilaya ya Uyui, mkoa wa Tabora, kuna tukio limetokea la kutisha na kusisimua.Mnamo tarehe 10 mwezi wa 3 mwaka huu 2019 majira ya saa 12...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Nimefika. Hapa federal repablica du brasil nimeshangaa kuona vijana wakibongo wapo kibao wanambana na maisha ,du kweli Tanzania uchumi umeanguka mbaka vijana wote wanakimbia nchi @ CCM mbele kwa...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Takribani wiki moja sasa local channel tunayopata ni TBC1, je wewe mpaka sasa kuna kipindi gani kimekuvutia?
1 Reactions
98 Replies
10K Views
Nilipata ajali na pikipiki nikapata majeraha kwenye goti lkn vidonda vimepona lkn mguu hautaki kunyooka alafu maeneo ya goti bado kunauvimbe naombeni msaada nitumie dawa gani ya kunywa na ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
We Fikiria tu leo hii angekuwepo 1:Adolf 2:Pilato 3:Osama 4:Sadam husein 5:idi Amin 6:da vinc na Akili zake zile 7:Pharao 8:Mfalme Solomoni N.K Dunia ingekuwa vipi? Mfalme Solomoni angeshuka tu...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Naona Tigo aipo hewani simu inaniandikia emergency na jirani zangu vivyo hivyo kuna tatizo GANI ninatumia huduma ya simu bank kwenye line ya tigo, Tigo pesa ninamzigo wa kueleweka. Wasije...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kanisa hilo ambalo lilianzishwa kinyemela bila usajiri rasmi likijulikana kama "kanisa la Mungu" linadaiwa kusababisha vifo vya waumini wake nane hadi sasa wakiwemo mama waja wazito. Kanisa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Leo nabii Enock zamu yako, kuna siku nilimpa za uso nabii Flora. Jumapili moja mwanzoni mwa mwezi March 2015 huku mkimalizia semina ya KUANGAMIZA, WACHAWI, MAADUI NA MAJINI mlitangaza sadaka ya...
18 Reactions
93 Replies
11K Views
Mkuu wa polisi Zanzibar ametoa tamko la kwamba abiria yoyote atakaekamatwa amechukua usafiri wa boda boda atashitakiwa. Agizo hilo limetoka leo. Maswali yangu... * Serikali inasema vijana...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
yaani huko hadi kuna wakuu wa wilaya wanahangaika kufanyia kazi ile kauli iliyosema.NYIE WA KASKAZINI MAENDELEO YAMETOSHA NI ZAMU YA KUSINI,NYIE SUBIRINI..he njemba zikakaza za huko mwika...
4 Reactions
27 Replies
7K Views
" Mkuu wa Mkoa ' deshi deshi ' Jumapili hii ya leo amefanyiwa Maombi yaliyo Maalum kwa ajili ya Kuimarisha Ndoa yake ". Maneno yaliyonishtua na ambayo hadi hivi sasa yameniachia Maswali mengi...
2 Reactions
7 Replies
6K Views
MFUMUKO wa bei kwa mwezi Februari umebaki kuwa asilimia tatu kama ilivyokuwa Januari mwaka huu, taarifa ya Ofi si ya Taifa ya Takwimu (NBS) imebainisha. Akizungumza jana jijini hapa, Mkurugenzi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…