Basi tunazopanda alfajiri nyingine sio daladala

mwisho2016

JF-Expert Member
Jun 27, 2016
724
625
Wengi tunaamka na kuwahi kwenye shughuli zetu kila siku. Ni kawaida/kumbe kuna mengi yanatupita,

Leo nlishuhudia mzee akimkataza kijana kupanda townbus ya rangi blue iliyosimama kituoni bila kuitia abiria. Nilisogea karibu kusikia sababu kwa kuwa, babu alitukuta pale kituoni.

Tukio lilikuwa hivi....Ilikuwa majira ya saa kumi unusu alfajiri. Babu alimjia juu kijana kwamba ...''utakufa, nani kakwambia lile gari? Sio gari ile, alikuwa mnyama anakusanya kafara. ..."msome vitabu na msome dua.."

Tukio hili lina dakika 30. Wajuzi tuone elimu kwa hili vijana tuwe na hamu kujua zaidi
 
School bus zote sasa hivi nchi nzima ni njano kwa rangi. Hilo la blue lilitoka wapi? Labda ndio masna babu alishtuka. Lakini pia kstika dunia hii yawezekana hilo alosema babu pengine ungemdadisi zaidi ungejus mengi
 
Hajasema school bus, ila kasema ni zile bus/ hiace wanazopanda watu alfajiri kuwahi mishe zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom