Bila kifo Dunia ingekuwa Uwanja wa mapambano

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,668
2,000
We Fikiria tu leo hii angekuwepo
1:Adolf
2:pilato
3:Osama
4:Sadam husein
5:idi Amin
6:da vinc na Akili zake zile
7:pharao
8:Mfalme Solomoni N.K

Dunia ingekuwa vipi? Mfalme Solomoni angeshuka tu na mihela yake angetununua tukawe watumwa wake,

Ukishituka huku Adolf anatupiga mabomu bila sababu,

Ukigeuka kule da vinc anaamua kukuchora kama ulivyo zaliwa na kukutishia ata post mtandaoni kama usipomlipa kiasi flani cha fedha,

Yaani dunia ingekuwa balaa wale wababe wote wangekuwa wanatunyanyasa hatari,

Kifo kimeumbwa ili tuheshimiane, ukijifanya mbabe ipo siku ubabe wako utaishia kwenye Umauti.

Kifo kimeletwa kwa sababu maalumu na kwa sababu hiyo ndio maana tunakufa.


CC Zero IQ
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom