Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,252
Kitendo cha lowasa kuwaambia watz waliopigia kura upinzani milioni 6 ni cha dharau kubwa sana.
Uzee ni hekima lkn pia ukizeeka vibaya unakuwa mwepesi wa kusahau...
Mzee Kingunge mwasisi halisisi wa ccm aliikana ccm mpaka anazikwa kaburini pamoja na mwenyekiti wa sasa kujaribu kumlisha maneno bila mafanikio na bila utandawazi tusingejua yule mzee alisema nini alipokutana na rais hospitalini alikokuwa amelazwa
Marehemu Tambwe hiza kada maarufu wa zamani wa ccm alisema nimehamia upinzani ili nisije nikafa na zambi zangu.
Kwa kifupi ccm ilishachokwa sana na kila mtz. Mbinu zote chafu na dhaifu za kununua pinzani zimesjidhirika pasi na shaka bado watz wamezikataa. Ndo maana pamoja na kujifanya wanaunga juhudi lkn hawataki uchaguzi huru na haki wanategemea nguvu za polisi kubaki madarakani.
Lowasa kasahau haraka sana. Watz hawaangalii ni nani anagombea. Kwa miaka 20 iliyopita wanaangalia chama gani kimewafanya watz wawe km walivyo sasa na mara kadhaa hata bila ya lowasa wameonesha hayo kwenye sanduku la kura pamoja na wizi w wazi wa kura wa ccm, msisahau ya Jecha na uchaguzi wa Zanzibar.
Ndio maana ccm wakianzia na mwenyekiti wake wamekuwa na kiwewe kisichosemeka. Km kweli viongozi wanahamia upinzani kwa sababu serikali hii inafanya mazuri basi waachie uchaguzi huru polisi wasiwe ccm B mbona nguvu kubwa zinatumika?!
Kwa ufupi watz hawakumchagua lowasa bali walichagu upinzani ndo maana watz wanasema hata ukiweka jiwe kulipambanisha na ccm bado watachagua upunzani maana ni dhahiri kuwa ccm ni ile ile na wanaccm ni walewale na ccm ni ukoo wa panya.