Mtandao wa tigo umepotea hewani kuna tatizo gani?

Roman Empire

JF-Expert Member
Mar 6, 2017
620
1,414
Wakuu,

Naona Tigo aipo hewani simu inaniandikia emergency na jirani zangu vivyo hivyo kuna tatizo GANI ninatumia huduma ya simu bank kwenye line ya tigo, Tigo pesa ninamzigo wa kueleweka.

Wasije kuwa ma hacker wanafanya yao, msaada please watu wengi hawapatikani hewani nikitumia mtandao mbadala kuwacheki.
 
Tumia Vodacome,Halotel au Airtel na Sasatel....Tigo kuna shida kwa muda kidogo. mafundi wako kazini kurudisha net.
 
Nimekosa pesa ya chai leo...iko kwenye Tigo pesa afu network hamna
 
Kuna siku tiGO watakuja kulia,kuna haja yakuwapeleka kwa plato wakakumbane na mkono wa sheria, maana hapa tulipo tushapoteza vitu vingi sana, I was expecting to receive a special call kutoka ukweni,sasa hamuoni hapa naweza onekana mimi tapeli kwa wakwe zangu???
 
Alafu awaombi radhi.. Mimi ninatumia kwenye TIGO pesa na nimeilink na bank Leo Ndio mwanzo na mwisho ninaenda kujitoa kesho bank sipendi ujinga kupeana presha maisha yenyewe kuviziana tu.....
 
Kumbe adi sana sana kinondoni kuna jamaa nimeongea nae ubungo ana niambia wake unasoma
 
Back
Top Bottom