Kumbe Kibonde angepatiwa dawa usiku ule asingefariki dunia

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
19,098
2,000
Nimemsikia bwana Gardner Habash mtangazaji mwenza wa marehemu Ephrahim Kibonde akisema kuwa usiku kule Mwanza kuna dawa pale hospital walikosa na akampigia simu Dr. Isaack maro akawaelekeza wakatafute maduka ya mtaani naa usiku ule wakakuta maduka yamefungwa.

Na baada ya kukosa hizo dawa walimjulisha bwana Maro kuwa imeshindikana usiku ule,na bwana Maro akawaambia kama mmekosa hizo dawa kesho mgonjwa ataamka akiwa hoi zaidi na kweli kesho yake ile alfajiri mgonjwa akaamka akiwa hoi hadi kumpelekea kushindwa kutembea kwa miguu hadi kupandishwa kwenye kile kiti cha matyre (whelchair).

Hivyo kwa namna moja au nyingine huenda wangefanikiwa kupata hizo dawa usiku ule marehem asingefariki dunia,kuwa ni uzembe wa hospital zetu kukosa dawa au kifo chake ilikuwa ni mipango ya Mungu.

R.i.p Kibonde, Mungu akuweke pahala pema
 
Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,650
2,000
Nimemsikia bwana gadna g.habasi mtangazaji mwenza wa marehemu efrahim kibonde akisema kuwa usiku kule mwanza kuna dawa pale hospital walikosa na akampigia simu dr.isack maro akawaelekeza wakatafute maduka ya mtaani naa usiku ule wakayuta maduka yamefungwa..
Na baada ya kukosa hizo dawa walumjulosha bwana maro kuwa imeshindikana usiku ule,na bwana mro akawaambia kama mmekosa hizo dawa kesho mgonjwa ataamka akiwa hoi zaidi na kweli kesho yake ile alfajiri mgonjwa akaamka akiwa hoi hadi kumpelekea kushindwa kutembea kwa miguu hadi kupandishwa kwenye kile kiti cha matyre (whelchair)..
Hivyo kwa namna moja au nyingine huenda wangefanikiwa kupata hizo dawa usiku ule marehem asingefariki dunia,kuwa ni uzembe wa hospital zetu kukosa dawa au kifo chake ilikuwa ni mipango ya mungu...
R.i.p kibonde mungu akuweke pahala pema
Kufa kupo tu ata kama angeumwa karibu na MSD

CC Zero IQ
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
7,207
2,000
Hata iwe bukoba hata mwanza lakini tunaangalia ile huduma ya kwanza kuna uzembe hapo
Uzembe gani we jamaa?

Dawa hazikuwepo unasrma uzembe,unajua maana ya uzembe?

Uzembe ni kuwepo kwa dawa alafu usipewe.ni sawa na kusema shule zinafelisha kwa uzbe wa kutokuwepo waalimu,huu utakuwa ujinga.

Uzembe ni waalimu kuwepo alafu wasifundishe.

Na ujinga ni kwa dawa kuwepo alafu usipewe.sio unalaumu sana kws jambo ambalo lipo nje ya uwezo wako.
 
Heron

JF-Expert Member
Oct 4, 2013
1,912
2,000
Nimemsikia bwana gadna g.habasi mtangazaji mwenza wa marehemu efrahim kibonde akisema kuwa usiku kule mwanza kuna dawa pale hospital walikosa na akampigia simu dr.isack maro akawaelekeza wakatafute maduka ya mtaani naa usiku ule wakakuta maduka yamefungwa..
Na baada ya kukosa hizo dawa walimjulisha bwana maro kuwa imeshindikana usiku ule,na bwana maro akawaambia kama mmekosa hizo dawa kesho mgonjwa ataamka akiwa hoi zaidi na kweli kesho yake ile alfajiri mgonjwa akaamka akiwa hoi hadi kumpelekea kushindwa kutembea kwa miguu hadi kupandishwa kwenye kile kiti cha matyre (whelchair)..
Hivyo kwa namna moja au nyingine huenda wangefanikiwa kupata hizo dawa usiku ule marehem asingefariki dunia,kuwa ni uzembe wa hospital zetu kukosa dawa au kifo chake ilikuwa ni mipango ya mungu...
R.i.p kibonde mungu akuweke pahala pema
Pamoja na uzembe au Umakini au Vyovyote vile lakini MOLA MLEZI kaahidi kutoichelewesha au kuiwahisha nafsi ya mja wake hata sekunde. Kwahiyo hata angekuwa India au Cuba zinapotengenezwa dawa hizo ANGEONDOKA TU
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,758
2,000
Nimemsikia bwana gadna g.habasi mtangazaji mwenza wa marehemu efrahim kibonde akisema kuwa usiku kule mwanza kuna dawa pale hospital walikosa na akampigia simu dr.isack maro akawaelekeza wakatafute maduka ya mtaani naa usiku ule wakakuta maduka yamefungwa..
Na baada ya kukosa hizo dawa walimjulisha bwana maro kuwa imeshindikana usiku ule,na bwana maro akawaambia kama mmekosa hizo dawa kesho mgonjwa ataamka akiwa hoi zaidi na kweli kesho yake ile alfajiri mgonjwa akaamka akiwa hoi hadi kumpelekea kushindwa kutembea kwa miguu hadi kupandishwa kwenye kile kiti cha matyre (whelchair)..
Hivyo kwa namna moja au nyingine huenda wangefanikiwa kupata hizo dawa usiku ule marehem asingefariki dunia,kuwa ni uzembe wa hospital zetu kukosa dawa au kifo chake ilikuwa ni mipango ya mungu...
R.i.p kibonde mungu akuweke pahala pema
Mkuu ukosefu wa dawa huku tunalipa kodi mpk kwe kuuza mayai kunaletwa kwa hisani ya chama cha mapinduzi (CCM)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
miwani ya maisha

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
1,739
2,000
siku yake ilikuwa imetimia.....kwani wagonjwa wanafia hospitalini nako maduka ya dawa yamekuwa yamefungwa?
Ruge alipewa milion 50 na Jiwe kwa uelewa huo huo wa kijinga kwamba "hela"zingemponya lakini hatunai tena wapo ambao Jiwe hajawapa hata senti tano na wamezidiwa kuliko Ruge na wanaishi.....kuishi na kufa kwa mwanadamu vyote vipo mikononi mwa mungu....AMINA
R.I.P KIBONDE
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom