A little bongo. Ujue mjini waliko jaa wabongo Ndani ya brazil

Wauza ngada wengi aka punda wapo hapo na China sababu Tanzania madon wamefyekelewa mbali.
 
Hata hiyo Brazil umaskini umetamalaki kama ilivyo kwenu, huko maskini ni zaidi ya milioni 50, mrudi nyumbani mkaijenge nchi.
 
Kama maskini walivyotamaki Kenya maana kibera tu ni 2.5m

Sent using Jamii Forums mobile app

Mumeleta uz mnaisifia Brazil dhidi ya nchi yenu, hehehe sasa mnatafuta pakutokea kwa kuhusisha Kenya.
Halafu muhimu mkapata elimu maana Kibera ni eneo ndogo sana haliwezi kuwa na watu 2.5m ilhali Nairobi yote kwa ukubwa wake ina watu milioni 3
Hivi unajua uchumi wa Nairobi pekee yake unatoshana na uchumi wa Tanzania yote, yaani uchumi wa jamhuri yote ya Tanzania, kwamba nchi zote hizo mbili Tanganyika na Zanzibar na visiwa vyote ukiunganisha vyote ndio utafikia uchumi wa Nairobi. Mpo bure sana nyie watu, uzembe kupita maelezo.
 
Hata hiyo Brazil umaskini umetamalaki kama ilivyo kwenu, huko maskini ni zaidi ya milioni 50, mrudi nyumbani mkaijenge nchi.

Huko si wanatafuta unga wa kupeleka China/HongKong!!(Drug mules) kwani Tz Rais Magufuli kawabana kikwelikweli hawadhubutu ku operate!!
 
Nimefika. Hapa federal repablica du brasil nimeshangaa kuona vijana wakibongo wapo kibao wanambana na maisha ,du kweli Tanzania uchumi umeanguka mbaka vijana wote wanakimbia nchi @ CCM mbele kwa mbele Nazan Bongo wamebaki wazeee tu vijana wote wamekimbia nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ndio vizuri ivyo.. We huoni Nigeria na uchumi wao mkubwa lakini ndo taifa la Kiafrika lililotapakaa dunia nzima kama Wayahudi vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefika. Hapa federal repablica du brasil nimeshangaa kuona vijana wakibongo wapo kibao wanambana na maisha ,du kweli Tanzania uchumi umeanguka mbaka vijana wote wanakimbia nchi @ CCM mbele kwa mbele Nazan Bongo wamebaki wazeee tu vijana wote wamekimbia nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau kutembelea Venezuela, utawakuta wengi sana
 
Mumeleta uz mnaisifia Brazil dhidi ya nchi yenu, hehehe sasa mnatafuta pakutokea kwa kuhusisha Kenya.
Halafu muhimu mkapata elimu maana Kibera ni eneo ndogo sana haliwezi kuwa na watu 2.5m ilhali Nairobi yote kwa ukubwa wake ina watu milioni 3
Hivi unajua uchumi wa Nairobi pekee yake unatoshana na uchumi wa Tanzania yote, yaani uchumi wa jamhuri yote ya Tanzania, kwamba nchi zote hizo mbili Tanganyika na Zanzibar na visiwa vyote ukiunganisha vyote ndio utafikia uchumi wa Nairobi. Mpo bure sana nyie watu, uzembe kupita maelezo.
Ukweli mchungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mkenya ndo apo nnapomuona msenge**rema awa jamaa kwa kujisifu eti tz yote na zenji hazifiki kwa nai jaribu kuchek na Malaria its advice yaani huwa siwapendi awa jamaa sifa utafikili wako Alabama kumbe bara jeusi
Mumeleta uz mnaisifia Brazil dhidi ya nchi yenu, hehehe sasa mnatafuta pakutokea kwa kuhusisha Kenya.
Halafu muhimu mkapata elimu maana Kibera ni eneo ndogo sana haliwezi kuwa na watu 2.5m ilhali Nairobi yote kwa ukubwa wake ina watu milioni 3
Hivi unajua uchumi wa Nairobi pekee yake unatoshana na uchumi wa Tanzania yote, yaani uchumi wa jamhuri yote ya Tanzania, kwamba nchi zote hizo mbili Tanganyika na Zanzibar na visiwa vyote ukiunganisha vyote ndio utafikia uchumi wa Nairobi. Mpo bure sana nyie watu, uzembe kupita maelezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Vijana tupo japo ni kweli wengine wamekimbia lakini Mkuu tunajiandaa kuichukua Nchi yetu 2020

Back
Top Bottom