Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,965
Takribani wiki moja sasa local channel tunayopata ni TBC1, je wewe mpaka sasa kuna kipindi gani kimekuvutia?
So long as nimepata habari its ok to meTakribani wiki moja sasa local channel tunayopata ni TBC1, je wewe mpaka sasa kuna kipindi gani kimekuvutia?
Usichukulie poa,imepangwa hii,kuna walengwa,vijijni.Hakuna mwananchi yeyote mwenye akili timamu atakayethubutu kuangalia TBC
sijui kijiji gani mkuu , Kwetu Kyela kuna option , ni DSTV na AZAM kwahiyo watu wengi wanahangaika na soka na tamthilia , si tbc hata chembe !Usichukulie poa,imepangwa hii,kuna walengwa,vijijni.
Kuna kantalambe,ngoreme nk,waliopata Umeme wa rea hivi karibuni,kyela & tukuyu kumeendelea kitambo mkuu,hata hvyo Dar yenyewe kugharamia kifurushi kwa sasa ni mbinde.sijui kijiji gani mkuu , Kwetu Kyela kuna option , ni DSTV na AZAM kwahiyo watu wengi wanahangaika na soka na tamthilia , si tbc hata chembe !
Watakuwa wanasoma kiaina,japo hawana namna ya kubiresha studio yaoHehehe tuseme hakuna member humu anae fanya kazi hapo awaambie wenzie jinsi wanavyo chukuliwa Jf
Sent using Jamii Forums mobile app
KTN NEWS ndio nimehamia mambo a huko motoooooTakribani wiki moja sasa local channel tunayopata ni TBC1, je wewe mpaka sasa kuna kipindi gani kimekuvutia?
Taka Broadcast.............