Kwanini Kibonde amezikwa Dar na si 'kwao' Mbeya?

muhamar Gadaf

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
866
1,000
Nenda salama braza, nilikuwa na badonakubali sana swaga zako.

Lakini najiuliza, ni kwanini familia yako imeamua kukuzika Dar es salaam na sio Mbeya kwenu ?

Jamani inapendeza sana siku tukifa tuzikwe mikoa tuliyotokea. Siku nikifa naomba nizikwe mkoa wa Mara pale Musoma Mjini ( Kamnyonge ) kwenye chipuko la babu zangu.

Hata wewe unayesoma hapa ukifa kazikwe kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nantahulila

JF-Expert Member
Sep 20, 2018
835
1,000
nenda salama braza.
nakubali sana swaga zako.

lakini najiuliza, ni kwa nn familia yako imeamua kukuzika dar es salaam na sio mbeya kwenu ?
jamani inapendeza sana siku tukifa tuzikwe mikoa tuliyo tokea

siku nikifa naomba nizikwe mkoa wa mara pale musoma mjini ( kamnyonge )kwenye chipuko la babu zangu.hata wewe ukifa kazikwe kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wa muwasu,hasa yale makaburi ya mwisenge!
 
Chills

Member
Aug 24, 2018
50
125
nenda salama braza.
nakubali sana swaga zako.

lakini najiuliza, ni kwa nn familia yako imeamua kukuzika dar es salaam na sio mbeya kwenu ?
jamani inapendeza sana siku tukifa tuzikwe mikoa tuliyo tokea

siku nikifa naomba nizikwe mkoa wa mara pale musoma mjini ( kamnyonge )kwenye chipuko la babu zangu.hata wewe ukifa kazikwe kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uache kabisa gharama za kusafirisha maiti yako, usitake kutupa mizigo ya bure. Kwani tukikuchoma moto au tukikuzika mabwepande utatufanya nini na ushakufa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,051
2,000
Hata harusi nyingi za watu wa mikoani hufanyika Dar,
Mitume na manabii wengi pia wametumwa Dar,
Viongozi wetu wabunge, wakuu wa mikoa, hata Raisi pia wanaishi Dar,

So Usishangae Mwili wa Kibonde kuzikwa Dar.
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,271
2,000
nenda salama braza.
nakubali sana swaga zako.

lakini najiuliza, ni kwa nn familia yako imeamua kukuzika dar es salaam na sio mbeya kwenu ?
jamani inapendeza sana siku tukifa tuzikwe mikoa tuliyo tokea

siku nikifa naomba nizikwe mkoa wa mara pale musoma mjini ( kamnyonge )kwenye chipuko la babu zangu.hata wewe ukifa kazikwe kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeacha nauli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
puttin

JF-Expert Member
May 17, 2015
221
500
nenda salama braza.
nakubali sana swaga zako.

lakini najiuliza, ni kwa nn familia yako imeamua kukuzika dar es salaam na sio mbeya kwenu ?
jamani inapendeza sana siku tukifa tuzikwe mikoa tuliyo tokea

siku nikifa naomba nizikwe mkoa wa mara pale musoma mjini ( kamnyonge )kwenye chipuko la babu zangu.hata wewe ukifa kazikwe kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Unataka ukifa ukazikwe Musoma mjini.....? Mpaka sasa umedeposit sh ngapi kama Fedha za kusafirisha Mwili wako...? Fanya maandalizi mapema ukizingua kinondoni kwenyewe hatukupeleki tutakupeleka makongo juu kule kwenye makabuli ya Walala hoi pembezoni kwa mto mbezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom