Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna kitu sijakipatia majibu kuhusiana na hivyo vitu hapao juu nilivyoviandika. SIKU, hii ni mjumuisho wa masaa 24 kamili. Wiki, ni mjumuisho wa siku saba kamili, Mwezi, ni mjumuisho wa wiki NNe...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
The Kenya Bureau of Standard (KEBS) has launched investigations into the quality Always sanitary pads after an online debate on Twitter on the negative effects of the products through a hashtag...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
JESHI la Polisi wilayani Muheza mkoani Tanga limemuua kwa kumpiga risasi Mkazi wa Dar es Salaam, Mwinyiheri Nuhu, likidai alikuwa anajihusisha na ujambazi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Edward...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni kiini macho na aina fulani hivi ya utapeli..kwamba eti mchawi ajisalimishe na kukabidhi mikoba yake yenye matunguli ya kila aina, huyo hawezi kuwa na maisha tena! Asipouliwa na wenzake atakufa...
6 Reactions
46 Replies
12K Views
Hakika inasikitisha sana kuona watu waliolitumikia Taifa hili mpaka Kustaafu leo wanateswa na Mifuko ya PSSSF na NSSF Mifuko waliyoichangia kwa uaminifu mkubwa.Wastaafu hawa hawana kipato chochote...
4 Reactions
24 Replies
6K Views
Hello JF, Ningependa kujua kabla hujamvua mtu ubunge,hakuna labda warning letter ama discpinary procedure..?? Nna maana Nassari alizi ignore hizi procedure?? Kama amevuliwa bila kuzingatia...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari JF. Ktk maisha ya binadamu wivu ni jambo la kawaida tangu enzi za kaini na Abel. Je ni kazi gani inayoongoza kwa wanaoifanya kazi hiyo kuoneana wivu wao kwa wao, yani mtu hataki kuona...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Naam kabla ya yote niwatakie heri ya mwaka mpya kwa wote tuliochaguliwa kuuona huu mwaka,ni wangap tumeanza nao mwaka ulioisha but wameshindwa kuumaliza so hatuna budi kumshukuru MUNGU alie juu...
1 Reactions
56 Replies
6K Views
Nimekuwa nikiona idadi kubwa ya Wanigeria, Brazilians etc wananufaika na kuitumia vizuri fursa hii ya Green card lottery ila ni tofauti na Tanzania ambapo mamia hatuna ABC ya suala hili. Kwa...
0 Reactions
54 Replies
16K Views
Dunia ina mambo sana kuna maeneo ndani ya nchi hii,hawajali choo 100% Unakuta nyumba nzuri ila choo kina mlango wa gunia,juu hakujazibwa,ndani kuna tope na unyevu unyevu. Kuna baadhi ya maeneo...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Maisha yamekuwa magumu sana... Tangu wanywa bia mpungue. Sasa wananchi wanabambikwa makodi kwenye masimu yao.. Miamala haishikiki... Kunyweni Bia.. Mnapogoma kunywa bia hamuikomoi CCM...
17 Reactions
54 Replies
6K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara kuu Afya) Dkt.Zainabu Chaula amekutana na kufanya mazungumzo na wataalam kutoka Shirika la Tokushukai nchini Japan...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mzuqa wanaJamvi Kuna aliyekuwa rafiki yangu nilimkopesha kama shilingi 1.6 M tarehe 11 mwezi uliopita. Akaniahidi mwisho wa mwezi wa pili atanirudishia. Sikumpa online ni kosa kubwa nilifanya...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Najaribu kutafakari hizi kauli za viongozi wetu wa siasa kila mmoja ametoa kauli yake nataka kujua hizi kauli kuhusu Mwenge wa Uhuru walikua na maana gani! Mwalimu Julius Nyerere (Baba wa Taifa)...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Baada ya soko la madini kujengwa Geita serikali inajipanga kujenga kiwanda kikubwa kwa kushikisha wabia mbalimbali lakini pia soko kuu la samaki na kudhibiti utoroshaji wa samaki kwenda soko la...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imesema ulaji wa vyakula vilivyochafuliwa na kiasi kikubwa cha sumukuvu husababisha madhara ya kiafya ya muda mfupi na muda mrefu Madhara ambayo mtu anaweza...
3 Reactions
23 Replies
9K Views
ILI KUTIMIZA Gender Balance. Mwanamke mjamzito na aliyejifungua. ANASTAHILI KUPATIWA "MATERNITY LEAVE AND PAY" vivyo hivyo mwanaume apewe likizo na malipo. . Kutompa ni Ubaguzi wa kiwango cha...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama mada inavyo jieleza.Kumekuepo na dhana ya ubaguzi wa kijinsia na kuwepo na jitihada za kuondoa huo ubaguzi.Na wakati mwingine wanaharakati hao wamekuwa wakidai ya kuwa ndugu zetu waislamu...
0 Reactions
2 Replies
880 Views
Ushauri kwa Serikali hii barabara waikabidhi kwa Manispaa ya Kinondoni waiondoe TANROAD. Ni miaka mingi sasa barabara muhimu kama hii yenye kiwanda kikubwa kabisa cha cement na pia kuna makazi ya...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…