Habari ni kwamba yule mwanamama wa wanawake na maendeleo kada maarufu na alishakua mbunge vitu maalum aliendaga wapi nowdays
amefutika kabisa sijamsikia Dodoma wala Geita tokea apatwe na tukio...
Jana nimepata clip yenye tangazo kutoka Mamlaka ya Maji Mwanza(MWAUWSA) ikiwatangazia wadau wa maji kuwa tarehe 28.3.2019 siku ya alhamisi saa nne Ukumbi wa Nyanza kutakuwa na mkutano ili wadau...
Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) imetaja mikoa ya Dar es Salaam na Kilimanjaro kuwa vinara wa utapiamlo wa lishe iliyozidi nchini.
Mwakilishi wa Mkurugenzi wa TFNC, Geofrey Chiduo...
Basi la Taqwa limepata ajali eneo la Marongora baada ya Chirundu boader kwa upande wa Zimbabwe. Dereva ambaye ni Mtanzania kapoteza maisha hapo hapo.
Ilikuwa ikitokea Zimbabwe kuja Dar.
Moja kwa moja kwenye mada,kwa sisi wapanda daladala tusiokua na vibebiwoka ukiwa unaelekea kwenye kujitafutia kariziki chako iwe asubuhi jua linachomoza kali kama pasi au mchana au jioni...
Kwa heshima na taadhima.tukikumbuka.kazi.nzuri.kubwa iliofanywa.na askofu mkuu wa kwanza dayosisi ya kaskazini./mkuu wa kwanza kkkt askofu stephano moshi
Naomba niwape pole familia hii kwa...
Nilikuwa najitathmini nikagundua kuwa Binadamu ameumbiwa wakati na nyakati ambazo anapaswa kuwajibika kwazo ili kutekeleza kusudi.
Na kikubwa zaidi kila Binadamu ana jambo lake kwa upekee wake...
Waungwana habari zenu,
Kama kichwa kinavyojieleza, nina rafiki yangu amekuja kwangu leo asubuhi akidai anasumbuliwa na ndoto
Anasema juzi ameota amepata matatizo kazini yeye na wenzake...
Kuna watu wanaponda sana mpaka wanafikia hatua ya kuja kuanzisha nyuzi humu,eti wanasema JF inaboa kwa sababu kila member humu anajikuta kasoma mpaka chuo kikuuu, ana gari kali, Nyumba pesa na...
Mwanza. Jeshi la polisi mkoani Mwanza linawashikilia watuhumiwa 56 wa matukio mbalimbali wakiwamo wahamiaji haramu na waganga wa ramli chonganishi.
Akizungumza na waandishi wa habari leo ofisini...
hello JF,
kushinikiza wabunge wafanye kilichowapeleka bungeni,
Naomba Magufuli aweke kila mbunge atembelee KWA LAZIMA vikao at least 12,
kwa mwaka,
kwenye majimbo yao
kushirikiana na...
Kichwa Cha habari kinashtua kidogo. Hizi hospital zinaaminika kwa kiasi gani kwenye utoaji sahihi wa vyeti?
Kwa mfano mtu anajua ameuza mechi ile mbaya halafu anatakiwa aoe. Hawezi kumpanga...
Nguo za ndani za mtumba zakamatwa zikiuzwa sokoni Mbeya.
Nguo za ndani za mtumba ambazo zimepigwa marufuku nchini, zimekamatwa na maofisa wa Shirika la viwango nchini (TBS) katika soko la Sido...
Waziri Mkuu mstaafu, na mlezi wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Manyara, Mhe Mizengo Pinda, amefika Kiteto na kushuhudia ujenzi wa jengo la halmashauri ya Wilaya hiyo ambao umesimama kwa kukosa...
Taarifa Muhimu:
Kesho saa 5 asubuhi Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad atawasili Dar es Salaam akitokea Unguja na Boat ya Azam Marine.
Wapenzi na WANACUF WOTE JIJINI DAR ES SALAAM...
This is totally UNACCEPTABLE. Waziri Kangi Lugola fukuza kazi hawa wapumbavu wanaoliharibu jeshi la polisi. Then wapandishwe mahakamani washtakiwe kwa shambulio la kudhuru mwili.
Polisi wanapata...
Pombe ya mbege ni kinywaji maarufu sana katika jamii wakazi wa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, haswa Wachaga, Wameru na Waarusha.
Ni pombe inayotengenezwa kwa juisi iliyosindikwj na kuchachushwa...
Jengo la Isokon, London (1933), limedizainiwa na Wells Coates.
PAMOJA na kwamba makazi au nyumba msingi wake mkubwa ni kumwezesha binadamu kupata mahali pa kuishi, bado ujenzi hubeba kitu...
Kamati ya Uwekezaji wa Umma(PIC) imeishauri Serikali kuchukua jukumu la kuilipia TANESCO deni la shilingi trilioni 1.39
-
Mashirika ya IPTL, Songas, PAET na TPDC yanaidai TANESCO kiasi cha...
Kule mbozi mkoani songwe kuna kimondo kilidondoka na kutua hapa ardhi ya dunia, sasa najiuliza kipi kilisababisha? Vile vile kama dunia iko kwenye orbit je haiwezi kukatika kakipande na kudondoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.