T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,096
- 4,578
Waungwana habari zenu,
Kama kichwa kinavyojieleza, nina rafiki yangu amekuja kwangu leo asubuhi akidai anasumbuliwa na ndoto
Anasema juzi ameota amepata matatizo kazini yeye na wenzake wakafungwa jela na hakumbuki ni tatizo gani lakini alijikuta tu ameshafungwa
Leo asubuhi anasema ameota mkewe amejifungua lakini ikabainika mtoto sio wake na katika hali halisi mkewe ni mjamzito
Amekosa raha kabisa huelewi hizi ndoto hizi zina maana gani...
Nimekosa namna ya kumshauri, wajuzi wa mambo haya mnaweza kupita hapa mkanena lolote